IGP SIRRO AWAVALISHA NISHANI MAOFISA, WAKAGUZI NA ASKARI 123
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amewavalisha nishani maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali 123 waliotunukiwa nishani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe Samia Suluhu Hassan. Akisoma taarifa…





