Featured Kitaifa

MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS,IKULU PAMOJA NA MAWAZIRI WAELEZEA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI CHINA NA MISRI

Written by mzalendoeditor

 

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akijibu maswali ya Waandishi wa Habari pamoja na kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya Waandishi wa Habari pamoja na kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax akijibu maswali ya Waandishi wa Habari pamoja na kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki akijibu maswali ya Waandishi wa Habari pamoja na kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

 

About the author

mzalendoeditor