Jumanne, Novemba 24, 2026
HABARI MPYA
Featured

PROF.MKENDA TAYARI BUNGENI KUWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU 2026/2027

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewasili bungeni jijini Dodoma ambapo leo, Mei 7, 2026, anatarajiwa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027