marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

elexbet giriş

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

betpas

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

türk ifşa

casinoroyal

İkimisli

casinofast

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

lunabet

lunabet giriş

betpas

betpas giriş

pokerklas

pokerklas giriş

mislibet

mislibet giriş

Featured Kitaifa

SERIKALI YAAHIDI KUIMARISHA MAZINGIRA YA WAFANYABIASHARA WADOGO

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo pichani), katika Mkutano Mkuu wa Baraza la Machinga uliofanyika katika Viwanja vya Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambao ulilenga kujadili mafanikio ya wamachinga katika siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kuweka mikakati ya kulijenga Taifa.


Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) (Kulia), akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Saad Mtambule, katika Mkutano Mkuu wa Baraza la Machinga uliofanyika katika Viwanja vya Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambao ulilenga kujadili mafanikio ya wamachinga katika siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kuweka mikakati ya kulijenga Taifa.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Saad Mtambule, akizungumza wakati akimkaribisha Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) (hayupo pichani), kuhutubia kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo pichani), katika Mkutano Mkuu wa Baraza la Machinga uliofanyika katika Viwanja vya Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambao ulilenga kujadili mafanikio ya wamachinga katika siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kuweka mikakati ya kulijenga Taifa.

Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Machinga (SHIUMA) Taifa, Bw. Ernest Mtondo, akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Machinga uliofanyika katika Viwanja vya Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambao ulilenga kujadili mafanikio ya wamachinga katika siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kuweka mikakati ya kulijenga Taifa.

Baadhi ya wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga wa Soko la Mwenge, wakisikiliza hotuba ya Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) (hayupo pichani), wakati wa  Mkutano Mkuu wa Baraza la Machinga uliofanyika katika Viwanja vya Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambao ulilenga pia kujadili mafanikio ya wamachinga katika siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kuweka mikakati ya kulijenga Taifa.


Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) (Katikati aliyeketi), akiongoza meza kuu katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Wamachinga kutoka Mikoa mbalimbali, baada ya kuhutubia Mkutano Mkuu wa Baraza la Machinga uliofanyika katika Viwanja vya Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambao ulilenga pia kujadili mafanikio ya wamachinga katika siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kuweka mikakati ya kulijenga Taifa.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

……..

Na. Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam

Serikali imewahakikishia wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga kuendelea kuboresha mazingira yao ya kufanyia biashara, ikiwa ni sehemu ya mkakati mpana wa kukuza uchumi jumuishi na kuongeza fursa za ajira nchini.

Ahadi hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Baraza la Machinga uliofanyika katika Viwanja vya Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam, uliolenga kujadili mafanikio ya wamachinga katika siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania madarakani pamoja na kuweka mikakati ya kulijenga Taifa.

Mhe. Mhandisi Munde alisema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara wadogo ili waweze kukuza mitaji yao na hatimaye kupanda daraja na kuwa wafanyabiashara wakubwa.

“Tunataka kuwaona mnapiga hatua kutoka biashara ndogondogo hadi kuwa wawekezaji wakubwa na Serikali yenu inatambua mchango wenu katika uchumi na itaendelea kuwaunga mkono,” alisema Mhe. Mhandisi Munde.

Aidha Mhe. Mhandisi Munde, alisisitiza kuwa maoni na mapendekezo yatokanayo na mkutano huo yatasaidia kuboresha sera na mifumo ya biashara nchini, sambamba na utekelezaji wa falsafa ya 4Rs (Maridhiano, Ustahimilivu, Mabadiliko na Kujenga upya) inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita.

Aliongeza kuwa Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kurasimisha sekta isiyo rasmi, hatua itakayowezesha wafanyabiashara kupata fursa zaidi za mikopo nafuu, mafunzo na huduma nyingine muhimu za kiuchumi ikiwemo maeneo mazuri zaidi ya kufanya biashara kwa utulivu.

“Ni muhimu mkakubali kufanya kazi katika maeneo mtakayotengewa ili kurahisisha Serikali yenu kuwekeza miundombinu na huduma muhimu katika maeneo hayo na Pia, taasisi kama TRA na benki zitaendelea kuboresha huduma zao ili ziwe rafiki kwa wafanyabiashara wadogo,” alisisitiza Mhe. Mhandisi Munde.

Aidha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Saad Mtambule, pongezi za dhati kwa Wizara ya Fedha pamoja na taasisi zake kwa ushirikiano mkubwa wanaoendelea kuutoa kwa wafanyabiashara wadogo, ikiwemo juhudi za Mamlaka ya Mapato Tanzania -TRA katika kuonyesha uwajibikaji na mafanikio makubwa ya ukusanyaji mapato.

“Kwa dhati nimpongeze Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa maono na jitihada zake za kufungua fursa za kiuchumi na kuimarisha miundombinu ya biashara, ikiwemo ujenzi wa masoko na maboresho ya maeneo ya biashara katika Wilaya ya Kinondoni, hasa kwa kutupa masoko zaidi ya 24 yakiwemo makubwa kama Tandale, na kuendelea kuboresha masoko mengine na kuongeza vibanda ili kuwawezesha wafanyabiashara wengi zaidi kufanya shughuli zao katika mazingira bora na salama” alisema Bw. Mtambule

Naye Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Machinga (SHIUMA) Taifa, Bw. Ernest Mtondo alisema kuwa, Wamachinga wanatambua na wanathamini juhudi za Serikali katika kuboresha mazingira ya biashara, pamoja na jitihada za kuimarisha zaidi mifumo ya hifadhi ya jamii kwa wajasiriamali hao.

Bw. Mtondo aliishukuru Wizara ya Fedha kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuanza kuweka mazingira rafiki ya biashara, ikiwemo ujenzi wa mahema katika maeneo maalum ambayo yatabeba zaidi ya wamachinga 300, hatua ambayo imeanza kuleta utulivu na heshima kwa shughuli za wamachinga.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Umoja wa Machinga (SHIUMA) Taifa, Bw. Joseph Mwanakijiji, amesema kuwa kuanzishwa kwa shirikisho hilo kumelenga kuwaunganisha wamachinga na wafanyabiashara ndogondogo nchini kote, huku likikuza ushirikiano thabiti kati yao na Serikali.

Bw. Mwanakijiji alisema kuwa kupitia SHIUMA, wamachinga wameanza kunufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi ikiwemo upatikanaji wa mikopo kutoka taasisi za kifedha, pamoja na kupendekeza na kurasimisha maeneo rafiki ya biashara.

“Tayari kumekuwepo na maboresho makubwa ikiwemo ujenzi wa masoko maalum kama Machinga Complex Dodoma, kuimarika kwa mahusiano na Serikali, pamoja na kuboreshwa kwa mazingira ya biashara katika maeneo mbalimbali kama Mwenge na tunaahidi kuongeza ushirikiano na TRA katika ukusanyaji wa mapato pamoja na kuwahamasisha zaidi wamachinga kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii kama NSSF ili kujenga ustawi wao wa baadaye” alisema Bw. Mwanakijiji.

About the author

Alex Sonna