Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

SERIKALI YAIMARISHA UKAGUZI WA VIPIMO, YAPAMBANA NA “LUMBESA”

Written by Alex Sonna

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) imeendelea kuimarisha mfumo wa usimamizi wa vipimo nchini kwa kuboresha mazingira ya utendaji kazi, kununua vifaa vya kisasa vya ukaguzi pamoja na kuongeza mapambano dhidi ya biashara haramu ya mazao maarufu kama “Lumbesa.”

Hatua hiyo inalenga kulinda haki za wakulima, wafanyabiashara na watumiaji kwa kuhakikisha biashara zote zinafanyika kwa kutumia vipimo sahihi vinavyokubalika kisheria.

Hayo yamesemwa leo Mei 22, 2026 bungeni Dodoma na Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Ofisi Mpya Kujengwa Lindi na Songwe

Katika kuimarisha huduma zake nchini, Wizara imeanza mchakato wa ujenzi wa ofisi mpya za Wakala wa Vipimo katika mikoa ya Lindi na Songwe.

Amesema  kuwa hadi Aprili 2026, hatua ya usanifu na michoro ya majengo hayo imekamilika na kinachosubiriwa sasa ni kutangazwa kwa zabuni ili kumpata mkandarasi wa ujenzi.

Wataalamu wanaeleza kuwa ujenzi wa ofisi hizo utarahisisha utoaji wa huduma za uhakiki wa vipimo kwa wananchi na wafanyabiashara katika maeneo hayo ambayo yamekuwa yakikua kwa kasi kiuchumi.

Vifaa vya Kisasa Vyaboresha Ufanisi

Sambamba na hilo, Wakala wa Vipimo umefanya maboresho makubwa ya kiteknolojia kwa kununua vifaa mbalimbali vya kisasa vya TEHAMA na vifaa vya kitaalam vitakavyoongeza uwezo wa ukaguzi wa vipimo nchini.

Miongoni mwa vifaa vilivyonunuliwa ni pamoja na laptop 35, desktop 28, scanner mbili, printer 20 za multifunction pamoja na mashine za kisasa za kupimia na kuhakiki uzito na ujazo.

Vifaa vingine vya kitaalam vilivyonunuliwa ni pamoja na Digital Thermometer, Electronic Balances, Flow Meters, Proving Tanks pamoja na vifaa maalum vya ukaguzi wa mizani na pampu za gesi.

Kwa mujibu wa Wizara, upatikanaji wa vifaa hivyo utaongeza wigo wa huduma katika maeneo mapya na kurahisisha uhakiki wa vipimo kwa wananchi karibu na maeneo yao.

Serikali Yakaza Kamba Dhidi ya “Lumbesa”

 Serikali imeendelea na mapambano dhidi ya vitendo vya ufungashaji na usafirishaji wa mazao kinyume cha sheria maarufu kama “Lumbesa.”

Kwa mujibu wa Sheria ya Vipimo Sura ya 340, mazao yanayofungashwa kwa uzito hayapaswi kuzidi kilogramu 100 pamoja na kiwango cha ziada kinachoruhusiwa cha asilimia tano.

Sheria hiyo pia inawataka wafanyabiashara kutumia mizani iliyohakikiwa rasmi na Wakala wa Vipimo angalau mara moja kwa mwaka.

Hata hivyo, Serikali imebaini baadhi ya wafanyabiashara kuendelea kukiuka sheria hiyo kwa kufungasha mazao kupita kiwango kinachoruhusiwa jambo linalosababisha hasara kwa wakulima, wasafirishaji na wanunuzi.

Magari 81 Yakutwa na Makosa

Katika kukabiliana na changamoto hiyo, Wizara kupitia Wakala wa Vipimo imeendesha operesheni maalum katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya, Iringa na Njombe.

Kupitia operesheni hizo, jumla ya magari 2,500 yaliyokuwa yakisafirisha mazao mbalimbali yalikaguliwa.

Kati ya hayo, magari 2,419 yalibainika kufuata sheria kwa kusafirisha mazao yaliyofungashwa kwa uzito unaoruhusiwa, huku magari 81 yakikutwa yakiwa na makosa ya kuzidisha uzito wa vifurushi.

Hatua kali zilichukuliwa dhidi ya wahusika ikiwemo kutozwa faini za papo kwa papo na kuamriwa kufungasha upya mazao yao kwa kufuata sheria.

Huduma Zasogezwa Karibu na Wananchi

Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa urahisi zaidi, Serikali imeanzisha vituo vya muda 5,050 vya uhakiki wa vipimo katika maeneo ya kata, vijiji na mitaa nchi nzima.

Aidha, baadhi ya halmashauri zikiwemo Mpanda, Kasulu na Kibondo zimeanza kutunga sheria ndogo zinazosisitiza matumizi ya mizani iliyohakikiwa katika biashara ya mazao.

Jitihada hizo zinaonyesha dhamira ya Serikali ya kujenga mfumo wa biashara wenye usawa, unaozingatia sheria na unaolinda haki za kila mshiriki wa uchumi.

About the author

Alex Sonna