Featured • Kitaifa

RAIS SAMIA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA AFRICA CDC IKULU, DAR ES SALAAM

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC), Dkt. Jean Kaseya pamoja na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Mei, 2026.

About the author

Alex Sonna