Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betsmove

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk porno

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

milanobet

milanobet

pokerklas

pokerklas

Featured Kitaifa

TANZANIA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA HISPANIA KUKUZA UCHUMI

Written by Alex Sonna
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza katika kikao chake na Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles, kilichofanyika katika ofisi yake jijini Dodoma, ambapo walijadili namna bora ya kukuza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo kati ya Tanzania na Hispania.
Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WF, Dodoma.
Serikali imeeleza kuwa iko tayari kushirikiana na Hispania katika maeneo ya kipaumbele ikiwemo kukuza uchumi endelevu, ujenzi wa miundombinu, mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, na kuendeleza rasilimali watu, kwa lengo la kuchochea maendeleo jumuishi nchini.
Hayo yalielezwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Hispania chini, Mhe. Paloma Serra Robles, aliyefika kwa ajili kujitambulisha na kuwasilisha masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Hispania, katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, Dodoma.
Mhe. Balozi Omar alisema dhamira ya Serikali ni kuendelea kushirikiana na Hispania katika kutafuta rasilimali za kifedha kwa ajili ya miradi mingine ya maendeleo yenye maslahi mapana kwa Taifa, lengo likiwa ni kuchochea ukuaji wa uchumi na huduma bora kwa jamii.
‘‘Uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Hispania ni wa muda mrefu, ambapo kampuni za Hispania zimekuwa zikiwekeza nchini katika sekta mbalimbali, ikiwemo utalii, pamoja na kutekeleza miradi ya maendeleo na zitaendelea kuja kuwekeza nchini kwa kuwa mwelekeo wa Serikali ya Hispania ni kuongeza ushirikiano wa pamoja wenye mandeleo endelevu ikiwemo kuunganisha kampuni za Tanzania na kampuni za Hispania’’, alisema Mhe. Balozi Omar.
Pia Mhe. Omar alitoa wito kwa kampuni na wawekezaji kutoka Hispania kuja kuwekeza nchini Tanzania na kuwa Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya kufanya biashara na kutoa vivutio mbalimbali vya kikodi na uwekezaji vinavyoendana na ukubwa wa miradi, ikilenga kukuza ushirikiano.
Aliishukuru Hispania kwa kufadhili utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini, ikiwemo kutoa mkopo wa masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 30 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Msimbazi, jijini Dar es Salaam ambao unatarajiwa kuleta mabadiliko katika kukabiliana na changamoto za mafuriko, kuimarisha hifadhi ya mazingira, na kukuza ustahimilivu wa miundombinu ya jiji hilo dhidi ya majanga ya asili.
Akizungumza kuhusu uchumi wa Tanzania Mhe. Omar alisema kuwa uchumi umeendelea kuimarika kwa kasi baada ya Pato la Taifa (GDP) kukua hadi kufikia asilimia 6.4 katika robo ya tatu ya mwaka 2025, ikilinganishwa na asilimia 6.1 katika kipindi kama hicho mwaka uliopita.
Aliongeza kuwa mfumuko wa bei umesalia kuwa tulivu kwa wastani wa asilimia 3.5 hadi kufikia Desemba 2025, ndani ya malengo ya kitaifa ya kati ya asilimia 3 na 5, huku kikiwa chini ya viwango vya ukomo vilivyowekwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Utulivu huo wa bei za bidhaa na huduma unatajwa kuwa kigezo muhimu kinachojenga imani kwa wawekezaji na kutoa fursa pana kwa washirika wa maendeleo kuendelea kuwekeza nchini kutokana na mazingira tabiri ya uchumi mkuu.
Alisisitiza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kuimarisha ushirikiano wa pande hizo mbili kwa ajili ya maendeleo na ustawi wananchi na kumpongeza kwa kuteuliwa kwake kuwa Balozi wa nchi hiyo.
Kwa upande wake Balozi wa Hispania nchini, Mhe. Paloma Serra Robles, ameeleza dhamira ya nchi yake kuendelea kuisaidia Tanzania katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta tofauti zikiwemo miundombinu ya usafirishaji na miradi ya kijamii yenye tija kwa wananchi.
Alisema nchi hiyo imesaidia katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo wa uendelezaji wa bonde la msimbazi ambao kukamilika kwake kutaleta tija kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Natu El -maamry Mwamba, Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Madeni,  Bw. Omary Khama, Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje, Bw. James Msina pamoja na Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki.
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza katika kikao chake na Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles, kilichofanyika katika ofisi yake jijini Dodoma, ambapo walijadili namna bora ya kukuza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo kati ya Tanzania na Hispania.
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiagana na Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi ya Wizara ya Fedha jijini Dodoma, ambapo walijadili masuala ya ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo baina ya Tanzania na Hispania.
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza wakati wa kikao chake na Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles, katika ofisi yake jijini Dodoma, ambapo walijadili namna bora ya kukuza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo baina ya Tanzania na Hispania. Kulia ni Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Natu El-maamry Mwamba na kulia ni Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha Bw. James Msima.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akifuatilia kikao cha Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), na Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles, (hawapo pichani), kilichofanyika katika ofisi ya Wizara ya Fedha jijini Dodoma, ambapo walijadili namna bora ya kukuza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo kati ya Tanzania na Hispania.
Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles, akizungumza katika kikao chake na Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ambapo alielezea utayari wa nchi yake kushirikiana na Tanzania katika miradi mbalimbali, kilichofanyika katika ofisi ya Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.
Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles, akizungumza katika kikao chake na Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ambapo alielezea utayari wa nchi yake kushirikiana na Tanzania katika miradi mbalimbali, kilichofanyika katika ofisi ya Wizara ya Fedha jijini Dodoma. Kushoto ni Mshauri wa masuala ya uchumi na biashara ubalozi wa Hispania nchini Tanzania Bi. Rocio Kessler Grijalvo.
Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia kikao cha Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), na Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles, (hawapo pichani), kilichofanyika katika Ofisi ya Wizara ya Fedha jijini Dodoma, ambapo walijadili namna bora ya kukuza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo kati ya Tanzania na Hispania.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wa pili kulia) na Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa kwanza kulia) na Kushoto ni Mshauri wa masuala ya uchumi na biashara-ubalozi wa Hispania nchini Tanzania, Bi. Rocio Kessler Grijalvo, baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika katika Ofisi ya Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.
Ujumbe wa Serikali ya Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), na Ujumbe wa Ubalozi wa Hispania nchini Tanzania Balozi wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Paloma Serra Robles wakiwa katika kikao kilichofanyika katika Ofisi ya Wizara ya Fedha, jijini Dodoma, ambapo walijadili namna bora ya kukuza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo kati ya Tanzania na Hispania.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

About the author

Alex Sonna