marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

BUNGE LAPITISHA BIL. 174.9/- KWA WIZARA YA MADINI

Written by Alex Sonna

 

*●Yalenga kuchangia trilioni 1.4/- za maduhuli*

 

*●Makusanyo yafikia Trilioni 1 na Milioni 156*

*●Jumla ya tani 23.8 za dhahabu zakusaywa ndani ya miezi 18*

*●Ni Juhudi za Rais.Dkt.Samia Suluhu Hassan*

*Dodoma*

Bunge la Jamhuru ya Muungano wa Tanzania, limeridhia na kupitisha bajeti ya Wizara ya Madini ya shilingi bilioni 174.9 kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 ili kuiwezesha Wizara ya Madini kufanikisha ukusanyaji wa maduhuli ya shilingi trilioni 1.4.

Akiwasilisha Bungeni makadirio ya Mapato na Matumizi leo Aprili 27, 2026, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema fedha hizo zitawezesha kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Wizara pamoja na taasisi zilizo chini yake, huku zikilenga kuendeleza kasi ya ukuaji wa sekta ya madini kwa kufanya tafiti za jiosayansi nchini.

Akifafanua mgawanyo wa Bajeti hiyo, Waziri Mavunde amesema kiasi cha shilingi bilioni 71.5 sawa na asilimia 40.9 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, wakati shilingi bilioni 103.5 sawa na asilimia 59.1 zikiwa ni matumizi ya kawaida. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 27.4 ni mishahara ya watumishi na shilingi bilioni 76.1 ni matumizi mengineyo ya Wizara na taasisi zake.

Kuhusu mwenendo wa Sekta, Waziri Mavunde amefanunua kuwa, mchango wa Sekta ya Madini katika kuchangia katika Pato la Taifa umeendelea kuimarika, ukiongezeka kutoka asilimia 9.1 mwaka 2023 hadi asilimia 10.1 mwaka 2024, na kufikia wastani wa asilimia 11.9 mwaka 2025.

Aidha, Waziri Mavunde ameongeza kuwa ukusanyaji wa maduhuli umeongezeka kwa kiwango kikubwa, kutoka shilingi bilioni 753.2 mwaka 2023/2024 hadi shilingi trilioni 1.07 mwaka 2024/2025. Kwa kipindi cha miezi tisa ya mwaka 2025/2026 (Julai hadi Machi), tayari shilingi trilioni 1.03 sawa na asilimia 114.9 ya lengo lililopangwa.

Katika kuimarisha biashara ya madini, Waziri Mavunde ameeleza kuwa, idadi ya masoko imeongezeka kutoka 43 hadi 44, huku vituo vya ununuzi vikiongezeka kutoka 114 hadi 118, hatua inayolenga kuongeza uwazi na ushindani wa bei kwa wachimbaji.

Ametaja vipaumbele vya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 kuwa ni kuimarisha mchango wa sekta katika uchumi, kuendeleza mnyororo wa thamani madini muhimu na ya kimkakati, pamoja na kuhamasisha uwekezaji katika uongezaji thamani.

Vipaumbele vingine ni kuimarisha uendeshaji wa minada na maonesho ya madini ya vito, kuongeza uwekezaji katika tafiti za kina za madini, kurasimisha na kuwaendeleza wachimbaji wadogo, ikiwa pamoja na kuzijengea uwezo taasisi zilizo chini ya Wizara ili kuongeza tija na ufanisi.

Kwa upande wake , Naibu Waziri wa Madini Dkt.Steven Kiruswa amesema kuwa , Wizara ya Madini itaendelea kuimarisha ukaguzi katika migodi midogo na mikubwa ili kuongeza ufanisi katika uzalisha madini.

Akielezea kuhusu mageuzi ya utoaji leseni Dkt.Kiruswa amesema kuwa Wizara ipo mbioni kuweka mifumo ya utoaji leseni kidigitali jambo litakalo rahisisha utoaji leseni bila mgongano wa kimaslahi.

About the author

Alex Sonna