marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Lisanslı Casino Siteleri

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

SERIKALI: HUDUMA ZA FEDHA KIDIJITALI ZAZIDI KUIMARISHWA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni, Mhe. Tarimba Gulam Abbas (hayupo pichani), ambaye alitaka kujua sababu za Serikali za kutokutoa bei elekezi kwa makato ya huduma za Mobile Money ili kuwapunguzia gharama Wananchi.

Na. Josephine Majura, WF, Dodoma

Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kuhakikisha huduma za miamala ya fedha kwa mitandao ya simu zinapatikana kwa gharama nafuu, kwa kupunguza gharama za miamala ya kielektroniki, kuimarisha miundombinu ya mifumo ya malipo na kuweka mazingira rafiki ya kisera na kikanuni ili kuchochea matumizi ya huduma za kifedha za kidijitali na kupunguza gharama kwa wananchi.

Hayo yalisemwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni, Mhe. Tarimba Gulam Abbas, ambaye alitaka kujua sababu za Serikali za kutokutoa bei elekezi kwa makato ya huduma za Mobile Money ili kuwapunguzia gharama Wananchi.

Alitaja hatua zilizochukuliwa kwa kipindi cha mwaka 2024 na 2025 ambapo katika mwaka 2024 Benki Kuu ya Tanzania iliweka kikomo cha juu cha gharama ya muamala kwa mfumo wa malipo ya papo kwa papo na mfumo wa Tanzania Automated Clearing House (TACH), ambapo gharama ya juu kwa muamala mmoja ni shilingi 2,000.

Aliongeza kuwa katika mwaka 2025, Benki Kuu ya Tanzania ilipunguza gharama za miamala ya kutuma fedha kidijitali, ikiwemo kuhamisha fedha kutoka simu kwenda akaunti za benki na kutoka benki kwenda simu kupitia mfumo wa Tanzania Instant Payment System (TIPS).

Mhe. Balozi Omar, alieleza kuwa gharama za miamala zimepunguzwa na kuwekwa ukomo wa Shilingi 5,000 kwa miamala inayozidi Shilingi 500,000, huku kwa miamala isiyozidi kiwango hicho mwongozo wa ukomo wa gharama kwa viwango tofauti ukiainishwa.

“Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania imeendelea kutoa leseni kwa watoa huduma mbalimbali ili kuhakikisha ushindani katika sekta ya mifumo ya malipo ya kielektroniki. Hadi kufikia Machi 2026, jumla ya watoa huduma 113 walikuwa wameshapata leseni ya kutoa huduma za mifumo ya malipo nchini,” alifafanua Mheshimiwa Balozi Omar.

Aidha, alibanisha kuwa Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania itaendelea kushirikiana na watoa huduma wa mifumo ya malipo ya kielektroniki kufanya tathmini ya gharama za miamala na kuchukua hatua zinazofaa za kupunguza gharama zaidi bila kuathiri uthabiti na usalama wa mfumo wa malipo.

About the author

Alex Sonna