marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

holiganbet

grandpashabet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

Grandpashabet Güncel Adres

vdcasino

betvole

Featured Kitaifa

TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WAWEKEZAJI WA MAREKANI KATIKA MADINI, KILIMO NA TEKNOLOJIA

Written by Alex Sonna
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(kushoto), akiwa na Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Biashara – Business Council for International Understanding (BCIU), Bw. Peter Tichansky, baada ya Mkutano wao wa Uwekezaji ulioandaliwa na Baraza la Biashara – Business Council for International Understanding (BCIU), uliofanyika katika Ofisi za BCIU, jijini Washington D.C nchini Marekani, pembezoni mwa Mikutano ya Majira ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF, ambapo BCIU wameonesha nia kuwekeza nchini katika Bima kwa wakulima, kuzalisha mbegu bora za kisasa, bandari na katika Sekta ya Afya.
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kulia), ukiwa katika Mkutano wa Uwekezaji ulioandaliwa na Ujumbe Baraza la Biashara – Business Council for International Understanding (BCIU) (kushoto), uliofanyika katika Ofisi za BCIU, jijini Washington D.C nchini Marekani, pembezoni mwa Mikutano ya Majira ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF, ambapo BCIU wameonesha nia kuwekeza nchini katika Bima kwa wakulima, kuzalisha mbegu bora za kisasa, bandari na katika Sekta ya Afya.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza jambo wakati wa MKutano wa Uwekezaji ulioandaliwa na Baraza la Biashara – Business Council for International Understanding (BCIU), uliofanyika katika Ofisi za BCIU, jijini Washington D.C nchini Marekani, pembezoni mwa Mikutano ya Majira ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF, ambapo BCIU wameonesha nia kuwekeza nchini katika Bima kwa wakulima, kuzalisha mbegu bora za kisasa, bandari na katika Sekta ya Afya.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Katikati), Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Biashara – Business Council for International Understanding (BCIU), Bw. Peter Tichansky (wa tatu kulia), Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Elsie Sia Kanza (wa pili kulia), Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Mipango ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dkt. Tausi Kida (wa pili kushoto), Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Bw. Aboud Hassan Mwinyi (wa tatu kushoto), na viongozi wengine wa BCIU, Bw. Mathias Berninger (wa kwanza kulia) na Bi. Mesiya Mwangoka (kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya MKutano wa Uwekezaji ulioandaliwa na Baraza la Biashara – Business Council for International Understanding (BCIU), uliofanyika katika Ofisi za BCIU, jijini Washington D.C nchini Marekani, pembezoni mwa Mikutano ya Majira ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF, ambapo BCIU wameonesha nia kuwekeza nchini katika Bima kwa wakulima, kuzalisha mbegu bora za kisasa, bandari na katika Sekta ya Afya.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Washington D.C, Marekani)

 

Na Joseph Mahumi, WF, Washington D.C, Marekani

Tanzania imejipanga kikamilifu kuwa kitovu cha uwekezaji barani Afrika na inawakaribisha wawekezaji wa Marekani kuchangamkia fursa lukuki zilizopo katika sekta mbalimbali za uchumi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) wakati alipoongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Uwekezaji ulioandaliwa na Baraza la Biashara la Kimataifa- Business Council for International Understanding (BCIU), uliofanyika katika Ofisi za BCIU, jijini Washington D.C nchini Marekani, pembezoni mwa Mikutano ya Majira ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF.
Mhe. Balozi Omar alieleza kuwa, Tanzania inaendelea kuimarika kiuchumi na kutoa mazingira rafiki kwa biashara na uwekezaji sambamba na uchumi wake kuendelea kukua kwa kasi, ukifikia asilimia 5.5 mwaka 2024 na unatarajiwa kufikia asilimia 6.0 mwaka 2025, hali inayochochewa na sekta muhimu kama kilimo, viwanda, madini, ujenzi pamoja na huduma za kifedha.
“Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya biashara na kuvutia uwekezaji wa muda mrefu ili kuhakikisha sekta binafsi inachukua nafasi yake kikamilifu katika kukuza uchumi” alisema Mhe. Balozi Omar.
Aliongeza kuwa mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na Marekani yanaendelea kuimarika kwa kasi, ambapo thamani ya biashara kati ya nchi hizo imefikia dola za Marekani bilioni 1.4 mwaka 2024 huku uwekezaji wa moja kwa moja kutoka Marekani umeongezeka kutoka dola milioni 12.3 mwaka 2020 hadi dola milioni 40 mwaka 2023.
Akifafanua fursa zilizopo, Mhe. Balozi Omar alisema Tanzania ina utajiri mkubwa wa madini muhimu kwa nishati safi kama graphite, nickel na madini adimu, huku akisisitiza kuwa nchi inakaribisha ubia wa kuongeza thamani badala ya kuuza malighafi pekee.
“Hatupendelei kuuza mawe ghafi, bali tunakaribisha ushirikiano wa kuanzia uchimbaji hadi uzalishaji wa bidhaa za mwisho zenye thamani kubwa, na Tanzania ina soko kubwa la vijana wanaohitaji huduma za kidijitali, hivyo ni fursa adhimu kwa wawekezaji wa teknolojia pia,” alisema Mhe. Balozi Omar.
Aidha, alisema kuwa katika sekta ya kilimo, Tanzania inalenga kuwa ghala la chakula kwa Afrika na dunia, akihimiza uwekezaji katika kilimo cha kisasa na usindikaji wa mazao. Pia alieleza kuwa sekta ya afya, miundombinu na maeneo maalum ya uwekezaji (SEZs) yana fursa kubwa kutokana na mahitaji makubwa ya soko la ndani na kikanda.
Naye Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Dkt. Elsie Sia Kanza alisema kuwa mkutano huo na wawekezaji wa Marekani ni jitihada za kuvutia zaidi mitaji kutoka Marekani kupitia Diplomasia ya kiuchumi.
Alisema kuwa Tanzania inaanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ambayo imeelekeza nchi iweze kufikia uchumi wa dola za Marekani trilioni 1 ifikapo Mwaka 2050 na kwamba uwekezaji wa Sekta Binafsi unatarajiwa kuwa na mchango mkubwa.
Kwa upande wa wawekezaji walioshiriki mkutano huo ulioongozwa na Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Biashara – Business Council for International Understanding (BCIU), Bw. Peter Tichansky, walisema wameona kuna fursa za kiuchumi nchini Tanzania na wamejipanga kuwekeza katika sekta muhimu ikiwemo kilimo, madini, afya, miundombinu ya bandari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano pamoja na Bima ya wakulima.
Walisema kuwa eneo pamoja na maeneo hayo mengine, wanataka kuwekeza katika kilimo kwa kuzalisha mbegu bora pamoja na kuwawekea wakulima bima ya kilimo ili wawe na uhakika wa kuendesha shughuli zao bila kupata hasara ya majanga yatokanayo na changamoto mbalimbali.

About the author

Alex Sonna