Featured Kitaifa

BALOZI OMAR NA VIONGOZI WENGINE JIJINI WASHINGTON

Written by Alex Sonna

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati), Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Juma Malik Akil (mbele kulia), Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza (mbele kushoto) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Mipango ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Tausi Kida (wa tatu kushoto nyuma) wakiwa katika moja ya Mitaa ya Jijini Washington DC nchini Marekani wakielekea Makao Makuu ya Ofisi za Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF kwa ajili ya kushiriki Mikutano mbalimbali ya Majira ya Kipupwe. Tanzania ni nchi mwanachama wa Taasisi hizo kubwa za fedha duniani.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Washington D.C, Marekani)

About the author

Alex Sonna