Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

HAKIKISHENI GESI YENU INAPIMWA KABLA YA KUNUNUA – KIHULLA

Written by Alex Sonna

 

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) Bw. Alban Kihulla akijibu maswali na kutoa ufafanuzi kuhusu vipimo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo wakati wa semina kuhusu majukumu ya Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake iliyofanyika Mei 13, 2026 Bungeni Dodoma

Na Veronica Simba – WMA

DODOMA – Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Bw. Alban Kihulla amewaambia Waheshimiwa Wabunge kuwa WMA hufanya uhakiki wa mitungi ya gesi ya kupikia inayouzwa nchini ili kujiridhisha kuhusu ujazo wake kabla ya kuingia sokoni.

Akizungumza katika semina kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, kuhusu majukumu ya Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake iliyofanyika Mei 13, 2026 Bungeni Dodoma, Kihulla alisisitiza kuwa jukumu la WMA ni kuhakiki na kusimamia usahihi wa vipimo katika sekta zote, ikiwemo nishati.

Hata hivyo amewahimiza wananchi wakiwemo wabunge kuchukua tahadhari zaidi wakati wa kununua gesi.

“Kabla ya kununua gesi, hakikisheni mtungi huo unapimwa na muuzaji mbele yenu ili kujiridhisha kuhusu ujazo wake. Epukeni kununua gesi kutoka kwa wauzaji wasio na mizani, kwa sababu hutaweza kujua kama gesi uliyonunua ina ujazo sahihi kama ilivyoandikwa kwenye mtungi”, alisema Kihulla.

Akitoa mwongozo wa jinsi ya kutofautisha uzito ulioandikwa kwenye mtungi, Kihulla ameeleza kuwa kila mtungi wa gesi una maelezo mawili muhimu ya uzito ambayo mwananchi anapaswa kuyafahamu ambayo ni Net Weight na Gross Weight.

“Net Weight ni uzito wa gesi pekee iliyomo ndani ya mtungi. Hii ndiyo kiasi unacholipa. Gross Weight ni uzito wa gesi pamoja na uzito wa mtungi tupu.”

Alisema wakati muuzaji anapima mtungi uliojaa gesi, mnunuzi anapaswa kuangalia kama uzito unaooneshwa kwenye mzani unalingana na jumla ya net weight iliyoandikwa kwenye mtungi pamoja na uzito wa mtungi tupu. Ikiwa mzani unaonesha chini ya jumla hiyo, basi kuna upungufu wa gesi.

Amesema changamoto iliyopo kwa sasa ni kuwa wananchi wengi bado hununua gesi kwa mazoea bila kujali kama muuzaji ana mzani na amepima mtungi huo au la.

Pia amebainisha kuwa baadhi ya wananchi huagiza vijana wa bodaboda kuwanunulia gesi ili kurahisisha usafirishaji, bila wao wenyewe kuwepo ili kujiridhisha. Hali hiyo inawafanya kukosa uhakika kuhusu ujazo halisi wa gesi wanayonunua.

Katika ufafanuzi wake, Kihulla pia amezungumzia upimaji wa tochi za barabarani zinazotumiwa na askari kupima mwendo wa magari. Amesema WMA huhakiki tochi hizo ili kuhakikisha zinapima kwa usahihi na haki inatendeka kwa wamiliki wa magari.

“Hata hivyo, nawasihi wananchi kuwa endapo mtatilia shaka au kubaini kuna tatizo la usahihi wa vipimo popote pale, msisite kuwasiliana na WMA kwa hatua za haraka,” alisema.

Awali, kupitia wasilisho la video, Kihulla alieleza kuwa WMA inasimamia matumizi sahihi ya vipimo katika sekta mbalimbali ikiwemo afya, kilimo, miundombinu, madini, maji, ujenzi, nishati na usafiri.

Aidha, alisema Wakala hiyo inajiandaa kuanza uhakiki wa vipimo katika maeneo mapya ikiwemo sekta ya mawasiliano hususan kuhakiki usahihi wa bando za intaneti na dakika za simu zinazotolewa na makampuni ya mawasiliano ili kuongeza wigo wa ulinzi wa mwananchi.

Amesema, lengo ni kuhakikisha mteja anapata kiasi halisi cha data au dakika alichonunua, bila kupunguzwa au kupotea kabla ya muda wake kuisha.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Deodatus Mwanyika akizungumza wakati wa semina kwa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake iliyofanyika Mei 13, 2026 Bungeni Dodoma.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dennis Londo akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo wakati wa semina kuhusu majukumu ya Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake iliyofanyika Mei 13, 2026 Bungeni Dodoma.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) Bw. Alban Kihulla akijibu maswali na kutoa ufafanuzi kuhusu vipimo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo wakati wa semina kuhusu majukumu ya Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake iliyofanyika Mei 13, 2026 Bungeni Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Deodatus Mwanyika wakiwa katika semina kwa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake iliyofanyika Mei 13, 2026 Bungeni Dodoma.

Baadhi ya Viongozi na Maafisa kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake, wakishiriki katika semina kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kuhusu majukumu yanayotekelezwa na Wizara hiyo iliyofanyika Mei 13, 2026 Bungeni Dodoma.

About the author

Alex Sonna