marsbahis giriÅŸ

marsbahis giriÅŸ telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriÅŸ twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriÅŸ

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

marsbahis

ganobet

bets10 giriÅŸ

jojobet

holiganbet

wbahis

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

grandpashabet

marsbahis

restbet

artemisbet

artemisbet

kavbet giriÅŸ

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriÅŸ

holiganbet

kulisbet, kulisbet giriÅŸ

betkare, betkare giris

betparibu

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriÅŸ

jojobet giriÅŸ

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriÅŸ

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriÅŸ

Nitric Boost

onlybet giriÅŸ

betebet giriÅŸ

kulisbet, kulisbet giriÅŸ

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriÅŸ

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriÅŸ

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

supertotobet

supertotobet giriÅŸ

supertotobet

supertotobet giriÅŸ

netbahis

netbahis giriÅŸ

netbahis

netbahis giriÅŸ

ultrabet

Gamdom

grandpashabet giriÅŸ

egebet

betsmove

mavibet

egebet

betsmove

tophillbet

netbahis giriÅŸ

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

kumar siteleri

kralbet giriÅŸ

Grandpashabet Güncel Adres

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriÅŸ

kavbet

kavbet giriÅŸ

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriÅŸ

parmabet

parmabet giriÅŸ

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

sweet bonanza

jojobet güncel giriş

yakabet

marsbahis

vdcasino

aviator

bets10

bets10 giriÅŸ

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU APONGEZA TPDC KWA UJENZI WA SHULE YA MSINGI LIKONG’O KUPITIA MRADI WA LNG

Written by Alex Sonna

WAZIRI MKUU APONGEZA TPDC KWA UJENZI WA SHULE YA MSINGI LIKONG’O KUPITIA MRADI WA LNG

📌Asema ni utimizaji wa majukumu ya kijamii kupitia miradi

📌Akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi ya Kupikia kuunga mkono jitihada za Rais Samia

📌Mhe. Salome asema taasisi 52 zitasambaziwa nishati safi ya kupikia ndani ya siku 100 za uongozi wa Rais Samia

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong’o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa Gesi Asilia kuwa kimiminika ( LNG). .

Waziri Mkuu ametoa pongezi hizo tarehe 20 Desemba 2025 wakati akikagua ujenzi wa shule hiyo itakayokuwa na uwezo wa kuhudumia wanafunzi 400 katika Kijiji cha Likong’o, Kata ya Mbanja, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.

” Nawapongeza TPDC kwa hatua hii ya kutekeleza shughuli za uwajibikaji kwa jamii (CSR) kupitia mradi huu wa LNG, shule hii ni bora ya kisasa na imezingatia mahitaji mbalimbali ikiwemo kuwa na miundombinu inayokidhi watu wenye mahitaji maalum na watoto wa kike.” Amesema Mhe. Nchemba

Katika hatua nyingine Dkt. Nchemba ametoa msisitizo kwa Wizara ya Nishati kuhakikisha kuwa shule hiyo inafungwa miundombinu ya Nishati Safi ya Kupikia kuunga mkono utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia ambayo kinara wake ni Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kutokana na uwepo wa shule hiyo, Waziri Mkuu amewaasa wananchi kuchangamkia fursa kwa kuwasomesha watoto wao na hivyo kuunga mkono jitihada anazofanya Rais Rais Samia za ujenzi shule katika maeneo mbalimbali nchini ili kuwawezesha watoto wote kupata elimu.

Kwa upande wake Mhe. Salome Makamba ambaye ni Naibu Waziri wa Nishati, amesema mradi wa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong’o unatekelezwa kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa wananchi waliotoa ardhi kwa ajili ya utekelezaji mradi wa LNG.

Ameeleza kuwa ujenzi wa Shule hiyo ambao umefikia asilimia 70 unaonesha jinsi kaulimbiu ya kazi na utu inavyotekelezwa kwa vitendo na Serikali ya Awamu ya Sita.

Katika hatua nyingine, Mhe. Salome ameeleza kuwa agizo la Waziri Mkuu la shule hiyo kuwekewa miundombinu ya nishati safi ya kupikia litatekelezwa na kuongeza kuwa ndani ya siku 100 za uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan taasisi 52 zitasambaziwa miundombinu ya nishati safi ya kupikia.

Naye, Mbunge wa Lindi, Mohamed Utaly amemshukuru Rais Samia kwa uwekezaji huo wa mradi wa LNG ambao amesema unaleta chachu ya elimu mkoani Lindi.

Amepongeza pia TPDC kwa kuhakikisha kuwa miradi ya uwajibikaji kwa jamii imeanza kutekelezwa mapema kupitia mradi huo wa LNG.

Awali, Mhandisi Msimamizi wa mradi wa shule ya Awali na Msingi Likong’o, Upendo Mahavanu kutoka TPDC alisema mradi huo unagharimu Sh .bilioni 1.27 ambapo shule itakuwa na Madarasa 9; saba yakiwa ni ya shule msingi na mawili ni ya awali. Pia kutakuwa na ofisi na nyumba za walimu.

Utekelezaji wa mradi wa LNG unatarajiwa kuwa na manufaa mbalimbali nchini ikiwemo mapato ya Serikali yatakayotokana na uuzaji wa LNG kwenye soko la kimataifa, fursa za ajira, fursa kwa wazawa kuuza bidhaa, uhaulishaji wa teknolojia mbalimbali ili kuwajengea uwezo wataalam wa ndani.

About the author

Alex Sonna