marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis giriş

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

celtabet

casino zonder cruks

Featured Kitaifa

TANZANIA NA UTURUKI KUIMARISHA UWEZESHAJI WA VIJANA NA WANAWAKE.

Written by Alex Sonna

 

Na WMJJWM- Uturuki

Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuanzisha makubaliano yatakayowezesha vijana kutoka Tanzania kunufaika na fursa za mafunzo, uzoefu wa biashara na kuunganishwa na vijana wenzao kupitia Jukwaa la Young MÜSIAD ili kukuza mtandao wa biashara, ujuzi na kutengenenza rasilimaliwatu itakayoimarisha biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu wakati wa ziara ya kikazi nchini Uturuki tarehe 18 Desemba 2025.

Kupitia mazungumzo hayo, Viongozi hao walijadili fursa za ushirikiano kati ya Tanzania na Uturuki kwenye maeneo ya uwezeshaji wa vijana kiuchumi kupitia programu za uanagenzi, ubunifu, teknolojia na ziara za mafunzo (exchange programs) ili kuwezesha vijana kunufaika na utaalamu kwenye sekta ya biashara.

Dkt. John amesema hatua hiyo inazingatia ukweli kwamba Tanzania na Uturuki ni washirika wazuri kwenye sekta ya biashara na nchi hizo mbili zina dhamira ya kukuza ushirikiano huo ili kuchochea ongezeko la urari wa biashara na manufaa ya kiuchumi yatokanayo na sekta hiyo.

Dkt. Jingu amesema katika kufanyia kazi masuala muhimu yaliyokubalika kwenye kikao hicho, Tanzania itaandaa na kuwasilisha rasimu ya hati ya makubaliano kuhusu ushirikiano huo pamoja na maeneo mengine ambayo nchi inaweza kunufaika kupitia Jumuiya ya MÜSIAD, hususan uwezeshaji vijana kiuchumi kupitia sekta za ujasiriamali na biashara

“Jumuiya ya MÜSİAD ni mahiri nchini Uturuki na duniani ina uzoefu wa zaidi ya miaka 35 katika sekta ya biashara na uchumi, ikiwa na wanachama zaidi ya 60,000 kwenye sekta 25 hivyo katika makubaliano haya tutafaidika sana katika kuhakikisha vijana na Wanawake wa Kitanzania wanapata fursa hizo” amesema Dkt. Jingu

Ameongeza kuwa kwa kuzingatia vipaumbele vilivyopo, Serikali ya Tanzania imechukua hatua madhubuti za kuimarisha ushirikishwaji wa vijana kiuchumi ikilenga kuwapa ujuzi (soft skills) lengo likiwa ni kuendesha shughuli zao kwa weledi na kuinua uchumi wao.

Aidha Dkt. Jingu akiwa kwenye ziara hiyo alikutana na kuzungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda (MÜSİAD) na Shirika la Women and Democracy Foundation (KADEM) za nchini Uturuki.

Pia Dkt. Jingu alifanya mazungumzo na Bw. Osman Nuri Önügören, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Uhusiano wa Diplomasia mazungumzo hayo yaliyohudhuriwa na Watendaji mbalimbali wa jumuiya hiyo.

About the author

Alex Sonna