Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

betasus

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

WMA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA TEHAMA KWA JESHI LA POLISI ILALA

Written by Alex Sonna

 

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa kivipimo Ilala, Muhono Nashon, akikabidhi Kompyuta kwa Kamishna Msaidizi wa Polisi na Afisa Mnadhimu wa Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mohammed Makusi, katika hafla ya WMA kukabidhi vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi iliyofanyika Makao makuu ya Jeshi hilo, Septemba 10, 2024 jijini Dar es Salaam.

Na Mahamudu Jamal, WMA

Wakala wa Vipimo (WMA) imekabidhi msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Ilala, Septemba 10, 2024 katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam.

Akiongoza makabidhiano hayo kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa WMA, Meneja wa Mkoa wa kivipimo Ilala Muhono Nashon alisema msaada huo ni kutokana na ushirikiano wa muda mrefu katika masuala ya kazi baina ya WMA na Jeshi la Polisi hususani katika masuala ya jinai, ulinzi na usalama kwa maeneo mbalimbali ya ukaguzi, na nyanja nyinginezo.

Meneja Muhono amebainisha kuwa ushirikiano huo baina ya WMA na Jeshi la Polisi umekuwa na tija kutokana na  Jeshi hilo kudumisha hali ya amani na usalama kwa watumishi wa WMA na wananchi kwa ujumla katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo.

Aidha, ameongeza kuwa, WMA imekabidhi vifaa hivyo ili kuunga mkono matumizi ya TEHAMA kwa taasisi mbalimbali za Serikali ikiwemo Jeshi la Polisi.

“Vifaa hivi vitatumiwa na Jeshi letu katika utekelezaji wa majukumu mbalimbali na ni matumaini yetu kuwa vitaongeza ufanisi katika utendaji wake,” amesema Nashon.

Kwa Upande wake Kamishna Msaidizi wa Polisi na Afisa Mnadhimu wa Mkoa wa Kipolisi Ilala Mohammed Makusi, ameishukuru WMA kwa msaada huo na kusisitiza kuwa Jeshi hilo litaendelea kutumia TEHAMA katika utekelezaji wa majukumu yake ili kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi.

“Vifaa hivi vimekuja wakati muafaka, tukielekea katika Wiki ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania ambayo yatafikia kilele chake tarehe 27, Septemba, 2024”

Alisema kuwa, Kauli Mbiu ya Maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni Huduma bora za kipolisi zitapatikana kwa kubadili fikra, usimamizi wa sheria na matumizi ya TEHAMA.

“WMA mmetuunga mkono katika TEHAMA, hivyo tunawashukuru kwa hiki mlichotupatia ambacho kitasaidia kuboresha huduma zetu,” amesisitiza Kamishna Msaidizi Makusi.

WMA imekuwa na utaratibu endelevu wa kuimarisha ushirikiano na wadau pamoja na Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi kwa kutoa elimu ya matumizi sahihi ya Vipimo, ushauri wa kitaalamu, semina elekezi na uwezeshaji kwa baadhi ya Taasisi.

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa kivipimo Ilala,  Muhono Nashon, akikabidhi Kichapishi kwa Kamishna Msaidizi wa Polisi na Afisa Mnadhimu wa Mkoa wa Kipolisi Ilala Mohammed Makusi, katika hafla ya WMA kukabidhi vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi Ilala iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam, Septemba 10, 2024.

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa kivipimo Ilala, Muhono Nashon, akikabidhi Kompyuta kwa Kamishna Msaidizi wa Polisi na Afisa Mnadhimu wa Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mohammed Makusi, katika hafla ya WMA kukabidhi vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi iliyofanyika Makao makuu ya Jeshi hilo, Septemba 10, 2024 jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kivipimo Ilala, Muhono Nashon, akiwasilisha Mada katika hafla ya WMA kukabidhi vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi Ilala, iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam, Septemba 10, 2024.

Kamishna Msaidizi wa Polisi na Afisa Mnadhimu wa Mkoa wa Kipolisi Ilala Mohammed Makusi akizungumza wakati wa hafla ya Wakala wa Vipimo (WMA) kukabidhi vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, Septemba 10, 2024 jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kivipimo Ilala, Muhono Nashon (wa pili kushoto) na Kamishna Msaidizi wa Polisi na Afisa Mnadhimu wa Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mohammed Makusi (katikati), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa wa  Jeshi la Polisi na watumishi wa WMA, baada ya hafla ya WMA kukabidhi vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam, Septemba 10, 2024.

About the author

Alex Sonna