Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AZINDUA BWAWA LA UMWANGILIAJI NA AWAMU YA TATU UPANUZI WA MASHAMBA KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya Kikazi, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kama ishara ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 na Awamu ya tatu ya upanuzi wa Mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda hicho, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

default

default

default

default

default

Taswira ya Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda cha Sukari Mtibwa mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Matukio mbalimbali katika hafla ya uzinduzi wa Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji ya Kiwanda cha Sukari Mtibwa, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

About the author

mzalendo