Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI MHE.SANGU APATA MAPOKEZI MAKUBWA MKOANI RUKWA, AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUMTEUA

Written by mzalendo

Naibu Waziri,  Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na UtawalaBora, Mhe. Deus Sangu  akizungumza leo na wananchi wa Kata ya Kaengesha , Jimbo la Kwela , Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawangamkoani Rukwa , ikiwa ni ziara ya kwanza  tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo.

Sehemu ya wananchi wa Kata ya Kanda, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa  wakimshangilia kwa shwange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Deus Sangu mara baada ya kuwasili, ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu akisalimiana na Watumishi wa Ofisj ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mara baada ya luwasili katika Ofisi hiyo, ikiwa ni ziara ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo.

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri,  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kwela, Mhe. Deus Sangu amewahakikishia  wananchi kuwa  atafanya kazi kwa weledi na uaminifu wa hali ya juu  huku  akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa heshima kubwa  aliyowapa  wananchi wa Jimbo la Kwela na Mkoa wote wa Rukwa  kwa kumteua yeye  kuwa Naibu Waziri wa Ofisi yake.

Aidha, Mhe. Sangu amewashukuru wananchi  wote  wa Mkoa wa Rukwa kwa mapokezi makubwa  waliyompa mara baada ya kuwasili Mkoani humo, ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo.

Mhe. Sangu  ametoa kauli hiyo  kwa nyakati tofauti wakati akizungumza na Watumishi pamoja na wananchi  katika  Kata ya Kanda na  Kaengesha  kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika  kwenye Vijiji vitano  vya Jimbo la Kwela , Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga  Mkoani  Rukwa.

Amesema Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaheshimisha wananchi wa Mkoa wa Rukwa kwa kumteua yeye ili aweze kumusaidia kuwahudumia Watanzania katika masuala ya utumishi na utawala bora.

“Naomba niwaahidi katika najukumu yangu haya mapya nitakuwa mnyenyekevu, mchapakazi, mweledi na mwaminifu katika kutekeleza majukumu yangu ya kumsaidia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti  ya Utumishi wa Umma  na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene   ” amesema Mhe.Sangu

Ameongeza ” Nawashukuru pia wananchi wa Kwela kwa kuniamini na kunituma Bungeni ili nikawesemee changamoto zinazowakabili hii imepelekea Rais Samia kuweza kuniona na kuniteua kushika Wadhifa huu.

Katika hatua nyingine Mhe. Sangu ametumia fursa hiyo kumshukuru Mhe.Rais kwa kutekeleza miradi mingi ya maendeleo katika Jimbo la Kwela  ikiwemo ujenzi wa zahanati, barabara, maji  pamoja na umeme.

Mhe. Mhe.Sangu  amewahakikishi wananchi hao kuwa  “Mambo mazuri zaidi yanakuja, Rais Samia amesema anataka kuiona  Kwela   yenye nuru kiuchumi  ” amesisitiza Mhe.Sangu

Amesema Mhe.Rais anawapenda sana wananchi wake hususan wa Mkoa wa Rukwa ndio maana ameongeza bei ya  mazao ya mahindi   hadi Sh.700 kwa kilo moja ili kuhakikisha wananchi wa Kwela wananufaika kiuchumi kupitia kilimo chao.

Hata hivyo Mhe.Sangu ameowaonya wananchi wake wasithubutu kuuza mazao yote la sivyo kufikia Mwezi Januari mwakani watakumbwa na baa la njaa.

Kwa upande wake Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa, Mhandisi, Daudi Sebiga ametumia fursa hiyo kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe.Deus Sangu kwani Mchapakazi na Mwaminifu wa kiwango cha hali ya juu sana.

About the author

mzalendo