Featured Kitaifa

KATIBU MKUU ALLY GUGU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Written by mzalendo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ndg. Ally Gugu akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa wa Bunge katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

 

Afisa wa Bunge Ndg. Omary Machunda akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ndg. Ally Gugu alipotembelea banda la Bunge kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ndg. Ally Gugu akisaini kitabu cha wageni katika banda la Bunge kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

About the author

mzalendo