slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

kingroyal

truvabet

truvabet

Featured Kitaifa

WANANCHI WA SIMIYU WATAKIWA KUTUMIA ELIMU YA FEDHA KUKUZA UCHUMI.

Written by mzalendo
Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Kenani Kihongosi, nyenzo ya kufundishia elimu ya fedha, mara baada ya kufika ofisini kwake kabla ya kelekea Wilayani Itilima Mkoani Simiyu kutoa elimu ya fedha kwa wajasiriamali na wananchi kuhusu matumizi sahihi ya fedha, umuhimu wa kuweka akiba, uwekezaji sehemu sahihi, umuhimu wa bima, na namna bora ya kuandaa maisha ya kustaafu na ya uzeeni kwa ujumla.
Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akizungumza kwa niaba ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha (hawapo pichani), kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), baada ya wataalamu hao kufika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Kenani Kihongosi (kushoto), kabla ya kuelekea wilayani Itilima Mkoani Simiyu kutoa elimu ya fedha kwa wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Kenani Kihongosi (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi. Prisca Kayombo (wa tatu kushoto) pamoja na Timu ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha, wakiongozwa na Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha Bi. Elizabeth Mnzava (wa pili kulia), Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni (wa kwanza kulia), Mratibu wa Huduma Ndogo za Fedha Mkoa wa Simiyu, Bw. Mustapha Ayubu (wa kwanza kushoto) na Afisa mwingine kutoka Wizara ya Fedha Bi. Glory Kenedy (wapili kushoto), baada ya Timu hiyo kumtembelea Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Kenani Kihongosi, Ofisini kwake kabla ya kuelekea Wilayani Itilima kutoa elimu ya fedha kwa wananchi.
Katibu Tawala Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, Bi. Mwanana Msumi (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Wataalamu wa kutoa elimu ya fedha wakiongozwa na Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha Bi. Elizabeth Mnzava (watatu kushoto), Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni (watatu kulia), na maafisa wengine wa Serikali, walipowasili wilayani Itilima kabla ya kuanza kutoa elimu ya fedha kwa wananchi waliojitokeza kupata elimu hiyo.
Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni, akimwelezea Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Itilima Bi. Faraja Msigwa (hayupo pichani) lengo la Afisa huyo Mwandamizi kuambatana na Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha (hawapo pichani) kutoa elimu ya fedha, baada ya kufika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Itilima kabla ya kuelekea eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuwapa wananchi wa Wilaya hiyo elimu ya fedha.
Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Bi. Faraja Msigwa, nyenzo ya kufundishia elimu ya fedha, mara baada ya kufika ofisini kwake kabla ya kuanza kutoa elimu ya fedha kwa wananchi katika Wilaya hiyo.
Baadhi ya wajasiriamali na wananchi wa Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu wakipata elimu ya fedha kwa njia ya filamu yenye maudhui kuhusu matumizi sahihi ya fedha, umuhimu wa kupanga  bajeti na kuitekeleza, umuhimu wa kusajili vikundi vya huduma ndogo za fedha (Vikoba), utunzaji wa fedha binafsi, umuhimu wa kushirikisha familia na watu wa karibu kwenye masuala ya fedha na uwekezaji, umuhimu wa kukata bima, filamu hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha ili kusambaza elimu ya fedha kwa njia rahisi ya burudani ili kuhakikisha wananchi wanapata uelewa wa masuala ya fedha kwa njia rahisi.
Picha za matukio mbali mbali ya mafunzo ya elimu ya fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, elimu hiyo ya fedha ilianza kutolewa maeneo ya mijini kupitia maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha kwa Mikoa ya Dar Es Salaam, Mwanza na Arusha, ambapo kwa sasa programu hiyo imejikita kuwafikia wananchi wote kwa lengo la kuwaongezea uelewa wa masuala ya Fedha ili waweze kufanya maamuzi sahihi katika mahitaji na matumizi ya huduma za fedha. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha-Simiyu)
……
Na Asia Singano, WF, Simiyu.
 
Wananchi wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kuendelea kujitokeza kwa wingi kupata elimu ya fedha kutoka kwa wataalamu kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kutumia elimu  watakayoipata kukuza uchumi wa Mkoa huo na Taifa kwa ujumla.
 
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Kenani Kihongosi, Ofisini kwake, alipotembelewa na Timu ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kabla ya wataalamu hao kuelekea Wilayani Itilima Mkoani Simiyu kutoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara, wajasiriamali na wananchi wa Wilaya hiyo.
 
‘’Niwasisitize na kuwaomba wananchi wetu wapokee mpango huu kwa sababau ni mpango utakaowasaidia wao kujua matumizi sahihi ya fedha zao na namna bora ya kuchukua, kutumia mikopo na kufahamu mikataba namna gani mikopo wanayochukua inaweza kuwanufaisha katika maisha yao” Alisema Bw. Kihongosi.
 
Aliongeza kuwa kauli mbiu ya kampeni hiyo isemayo ‘’Elimu ya Fedha ni Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi’’ ni muafaka kwa kuwa  maendeleo ya kiuchumi lazima yatokane na mipango thabiti na mikakati bora ya elimu ya matumizi sahihi ya fedha hasa kwa wananchi.
 
Bw. Kihongosi, aliipongeza Wizara ya Fedha kwa kuandaa mpango wa maendeleo ya kiuchumi ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya fedha nchi nzima  na kuufikia Mkoa wake kutokana na umuhimu wa elimu hiyo katika kukuza uchumi wa nchi.
 
‘’Niwapongeze, Wizara ya Fedha kwa kuja na mpango huu mkakati mzuri kabisa wa kuelimisha wananchi wetu kwa sababu ni imani yetu wananchi wakipata uelewa kuhusu masuala ya kifedha watafanya mambo mazuri yatayowasaidia kuleta tija kiuchumi’’ Alisema Bw. kihongosi
 
Akitoa ufafanuzi kuhusu sifa za kukopa baada ya mmoja ya washiriki wa mafunzo ya elimu ya fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Bw. Alex Elias kutaka kufahamu kuhusu suala la kukosa mkopo kutokana na umri kuwa mkubwa, Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni, alisema suala la mikopo ni haki ya watu wote wenye uwezo wa kulipa mikopo hiyo isipokuwa watoto.
 
‘’ Kuna taasisi moja inayoangalia taarifa za watu wote wanaokopa katika taasisi zote Tanzania, inaitwa Credit Info, hawa watu kila  mtoa huduma ameambiwa apeleke majina ya watu wake ambao wamekopa sasa jina lako likipelekwa kule wanaona kwamba kumbe fulani amekopa mahali pengi, je anakopesheka tena? lakini ili mtu aweze kukopa ni yeye mwenyewe kuwa na uwezo wa kuingiza kiasi gani kila mwezi” alifafanua Bi. Kauzeni.
 
Naye Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, alisema Timu hiyo ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha  kutoka Wizara ya Fedha inaendelea kutoa elimu hiyo katika Wilaya za Mkoa wa Simiyu ikiwemo Busega  na Meatu ambapo baada ya kukamilisha Wilaya hizo wataalamu hao wataelekea Mkoani Shinyanga kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa Mkoa wa huo.
 

About the author

mzalendo