Jumatatu, Novemba 23, 2026
HABARI MPYA
Photos

WAZIRI MKUU AWASALIMIA WANANCHI WA GONGOLAMBOTO WILAYANI ILALA MKOANI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Gongolamboto katika Jimbo la Ukonga mkoani Dar es salaam, Mei 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).