Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

pusulabet

jojobet

matbet

imajbet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

marsbahis

Hacklink panel

betsmove

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

meritking

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel giriş

jojobet

grandpashabet

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

betsat

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

test

test

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA WARSHA YA MAWAZIRI KUHUSU UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA HAKI JINAI

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakati akifungua Warsha ya Viongozi hao kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai iliyofanyika Ukumbi wa Kambarage mkoani Dodoma tarehe 18 Mei 2024.

……………

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 18 Mei 2024 amefungua Warsha ya Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai iliyofanyika Ukumbi wa Kambarage mkoani Dodoma.

Akifungua Warsha hiyo, Makamu wa Rais amesema Azma ya Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuwepo kwa mfumo imara, wenye kuzingatia haki na misingi ya utawala bora katika kuwahudumia wananchi. Ameongeza kwamba nia ya dhati ya Rais ni kuleta mapinduzi ya kifikra na mabadiliko ya kimfumo katika utendaji wa taasisi  za Haki Jinai hapa nchini.

Makamu wa Rais amewataka Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kutekeleza ipasavyo mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kwa kuwa Wananchi wameonesha hitaji la mabadiliko katika utendaji wa taasisi za haki jinai ili kuongeza uwezo na kuhakikisha haki inatendeka. Amewasihi kufahamu kwa kina msingi wa mapendekezo hayo na kujipanga kikamilifu kuyatekeleza.

Pia amewaasa viongozi hao kuendelea kuwasimamia na kuwakumbusha watumishi  walio katika Wizara na Taasisi wanazosiamamia kuzingatia maadili, weledi na nidhamu katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Makamu wa Rais amesema Serikali  inafanya jitihada na kutumia rasilimali nyingi katika kuboresha  huduma za jamii, ikiwa ni pamoja na kusogeza huduma karibu na Wananchi kwa kuanzisha maeneo mapya ya kiutawala hivyo ameagiza TAMISEMI, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na Wizara ya Ujenzi kushirikiana ili kusimamia uanzishwaji wa ofisi za vyombo vya utoaji haki katika maeneo hayo.

Halikadhalika Makamu wa Rais amesema Utawala bora katika utumishi wa umma ni dhana inayohusisha usimamizi na utekelezaji wa shughuli za kila siku kwa kuzingatia misingi ya sheria, haki, usawa, uwazi na uwajibikaji.

       

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakati akifungua Warsha ya Viongozi hao kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai iliyofanyika Ukumbi wa Kambarage mkoani Dodoma tarehe 18 Mei 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai mara baada ya kufungua Warsha ya Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai iliyofanyika Ukumbi wa Kambarage mkoani Dodoma tarehe 18 Mei 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman mara baada ya kufungua Warsha ya Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai iliyofanyika Ukumbi wa Kambarage mkoani Dodoma

About the author

mzalendo