Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

kulisbet giriş

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

FCS NA TRADEMARK AFRIKA WASAINI KUTEKELEZA MRADI WA BIL. 2.3

Written by Alex Sonna

 

Dar Es Salaam Tanzania, 14 Mei 2024 

Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji wa biashara, kukabiliana na changamoto kubwa za kimfumo katika biashara na changamoto ya tabia nchi kama sehemu ya kuchochea ukuaji endelevu wa uchumi Tanzania.

FCS imepokea ruzuku ya bilioni 2.3 kutoka Trademark Africa kutekeleza mradi huo ambao umefadhiliwa na Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO), Ireland, na Norway, wenye thamani ya dola za kimarekani 900,000, unaolenga kuunganisha nguvu za Sekta Binafsi na Mashirika ya kiraia ili kukuza ukuaji wa uchumi wa kijani.

Makubaliano hayo yamefanyika leo Mei 14, 2024, katika Ofisi za FCS Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza katika hafla hiyo  Mkurugenzi Mtendaji wa FCS Justice Rutenge amesema kuwa Ulinzi wa mlaji ni muhimu katika soko la biashara la kitaifa na kimataifa, na kwamba ushirikiano wao na Trademark Africa ni hatua kubwa ya kulinda haki za mlaji na kuhakikisha faida za Biashara ni shirikishi.

“FCS inajukumu la kipekee kama AZAKI na ina uwezo wa kutumia vema ubobezi wake kushirikiana na  Sekta Binafsi kushughulikia masuala muhimu ya uharibifu wa mazingira na ukosefu wa usawa wa kijamii” amesema Rutenge.

Aidha, ameongeza kuwa mradi huo pia unalenga kuweka mazingira jumuishi na endelevu ya Biashara kwa kuongeza fursa za kibiashara kwa makundi ya pembezoni, kushirikiana na Asasi za kiraia katika kushughulikia mahitaji yao, kukuza mazingira ya biashara rafiki, na kuimarisha ulinzi wa walaji.

“Mradi huu unalenga kuboresha ustahimilivu wa Biashara dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, na hivyo kuchangia katika uendelevu wa muda mrefu wa uchumi wa Tanzania na uendelevu wa mazingira.

“Ushirikiano huu unawakilisha kielelezo cha jinsi ushirikiano wa sekta ya umma na binafsi unavyoweza kushughulikia kwa ufanisi changamoto za kimfumo katika masoko, na kuunda njia za mazoea ya biashara jumuishi na endelevu” ameongeza Rutenge.

Amebainisha kuwa katika kipindi cha miezi kumi na minane ijayo, FCS itatekeleza mkakati katika sekta nyingi za biashara, ikilenga kupunguza athari za matumizi ya mazingira na kukuza ushirikishwaji katika manufaa ya kiuchumi.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkaazi wa Trademark Africa Elibariki Shammy amesema, Mradi huo ni muhimu kwa malengo ya kimkakati ya kuchochea ukuaji wa biashara ambao ni endelevu na shirikishi.

“Tunaamini kwamba kupitia ushirikiano huu wa kimkakati baina yetu na FCS, tunaweza kuleta matokeo chanya na makubwa katika kuboresha mazingira ya biashara jumuisha nchini.

“kuwawezesha wanawake ni jambo la maendeleo na kuwajumuisha katika biashara kunakuza uchumi na kuinua jamii nzima” amesema Shammy.

Kupitia ushirikiano huo wa Trademark Africa na FCS kwenye mradi huo kunaendeleza mfumo bora jumuishi wa biashara utakaokabiliana na changamoto za biashara za kimataifa.

About the author

Alex Sonna