Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

NDEJEMBI ATOA ONYO KWA WAAJIRI WASIOWASILISHA MICHANGO YA WAFANYAKAZI WAO NSSF

Written by Alex Sonna
*Asema hawatavumiliwa tena, apongeza kazi kubwa inayofanywa na NSSF miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya sita
Na MWANDISHI WETU
Dar es Salaam. Serikali imesema haitawavumilia waajiri wote wa sekta binafsi ambao wanakata michango ya wafanyakazi wao bila kuiwasilisha katika Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwani hilo ni kosa kwa mujibu wa sheria na linawanyima haki wafanyakazi ambao wanashindwa kulipwa mafao yao kwa wakati pindi wanapostaafu.
 
Kauli hiyo imetolewa tarehe 14 Mei 2024 na Mhe. Deogratius Ndejembi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Ofisi za NSSF, Dar es Salaam.
 
Mhe. Ndejembi amewataka waajiri wenye tabia hiyo kuacha mara moja kwani watakaobainika hawatabaki salama na kuwa kumkata mfanyakazi fedha bila ya kuiwasilisha katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kunamletea usumbufu anapostaafu au ajira yake inapofikia ukomo kwa kushindwa kulipwa madai yao mbalimbali kwa wakati.
 
Amesema baadhi ya waajiri wanawasilisha kwenye Mifuko asilimia kumi ya mwajiriwa tu, lakini ule mchango wake wa asilimia kumi hauwasilishi jambo ambalo ni kinyume cha sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ambayo inamtaka mwajiri kumkata mfanyakazi asilimia zote ishirini ambayo ni ya kisheria.
Mhe. Ndejembi amesema baadhi ya kero za wastaafu hususan za kusubiria mafao yao kwa muda mrefu zinasababishwa na waajiri kutowasilisha michango ya wafanyakazi wao kwa wakati hivyo kupelekea adha kubwa kwa wastaafu na kudhani Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ndio inayowazungusha jambo ambalo muda mwingine sio kweli.
 
“Sasa tutakuwa wakali sana kwa waajiri wote ambao hawawasilishi michango kwa wakati kwani suala hilo ni kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Mifuko hii ya Hifadhi ya Jamii kuhakikisha kuwa waajiri wanawasilisha michango yao kwa wakati na hivyo tutasimamia jambo hili kwa ukali,” amesema Mhe. Ndejembi.
Mhe. Ndejembi ameridhishwa na namna ambavyo NSSF imekuwa ikifanya vizuri ambapo ukuaji wa Mfuko umekua zaidi kuanzia kipindi ambacho Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani mwezi Machi 2021, thamani ya NSSF ilikuwa trilioni 4.8 lakini ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Serikali ya awamu ya sita thamani imefikia trilioni 8.1.
 
 
“Huo ni ukuaji wa hali ya juu na hii inaonesha mafanikio makubwa ya Serikali ya awamu ya sita na mafanikio ya utendaji mzuri ya Mfuko inayofanywa na Bodi ya Wadhamini, Menejimenti pamoja na Wafanyakazi wa NSSF,” amesema Mhe. Ndejembi.
Amesema pamoja na mafanikio hayo lakini kuna mambo ya msingi tunataka tuyaone yakitokea ikiwemo kuongeza nguvu ya huduma kwa mteja ambaye ni Mtanzania anayechangia katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kuwa anahudumiwa kwa wakati na changamoto zao zinaendelea kupokelewa na kufanyiwa kazi.
Hata hivyo amesema NSSF katika kuendelea kuboresha huduma zake imejenga mifumo ya TEHAMA katika kuhakikisha mwanachama anapata huduma kwa haraka zaidi.
 
 
Kuhusu uwekezaji, Mhe. Ndejembi amesema fedha za Watanzania ambazo zipo kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii atahakikisha zinawekezwa vizuri na kwa uadilifu kwenye miradi itakayoleta matokeo chanya na kurejesha fedha za wanachama ili kulipa mafao kwa wakati.
Naye Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mshomba amemshukuru Waziri kwa kufanya ziara ya kikazi na kumuahidi kuwa yote aliyoelekeza na kuyawekea msisitizo watahakikisha wanayatekeleza.
Bw. Mshomba amesema NSSF inaendelea kuweka mkazo katika uboreshaji wa huduma kwa wateja na jambo hilo lipo katika Mpango Mkakati wa Mfuko, ambapo kwa sasa wameelekeza nguvu kwenye matumizi ya TEHAMA.
Amesema wataendelea kufanya uwekezaji wenye tija kwa kufuata miongozo ya Bodi ya Wadhamini, Benki Kuu ya Tanzania na Ofisi ya Waziri Mkuu na amewaahidi wanachama kuwa dhamira ya NSSF ni kuhakikisha inakua kadiri ambavyo matarajio ya Mhe. Rais Dkt. Samia kwa kuwafikia wanachama kutoka sekta binafsi na sekta isiyo rasmi.

About the author

Alex Sonna