marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

Featured Kitaifa

MKAGUZI MKUU WA NDANI KUONGEZA USIMAMIZI WA MAPATO NA MATUMIZI

Written by mzalendo

 

Mkaguzi Mkuu wa Ndani (IAG), Bw. Benjamini Magai (kushoto) na Msaidizi wake, Bw. Mwanyika Semroki, wakifuatilia mada za ukaguzi wa mazingira siku ya mwisho ya Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) lililofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Mkaguzi Mkuu wa Ndani Msaidizi, Bw. Mwanyika Semroki, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Chama cha Wakaguzi wa Ndani Tanzania, Dkt. Zelia Njeza, wakati wa Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Mkaguzi wa Ndani Mwandamizi Wizara ya Fedha, Dkt. Sako Mwakalobo, akiingia katika Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) wakati wa kuhitimisha Mkutano huo, uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, akitoa mafunzo ya Afya yanayomwezesha mkaguzi wa ndani kufanya kazi zake kwa ufanisi, wakati wa Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Fedha, Bw. Lisius Mwenda, (wa kwanza kulia), akifuatilia mada za kikaguzi kuhusu utawala bora wakati wa Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA), uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Wakaguzi wa Ndani katika nchi 27 Afrika wakiwa katika Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) ulioangazia taratibu za ukaguzi wa ndani, utawala bora na mazingira, uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha)

Na. Peter Haule, WF. Arusha

Mkaguzi Mkuu wa Ndani (IAG), Bw. Benjamini Magai amesema ofisi yake itafanya mabadiliko makubwa katika taratibu za ukaguzi katika maeneo ya mapato na matumizi kutokana na mafunzo muhimu waliyoyapata katika Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA)

Hayo aliyasema jijini Arusha wakati wa kuhitimisha siku tano za Mkutano wa 10 wa Shirikisho hilo  uliowakutanisha zaidi ya wajumbe 1200 kutoka nchi 27 za Afrika na nje ya Afrika.

Bw. Magai alisema kuwa kutokana na kukua kwa teknolojia nchi yetu inatumia mifumo ya kielektroniki katika matumizi na ukusanyaji wa mapato, hivyo katika eneo hilo kumekuwa na vihatarishi vya udukuzi, kama nchi inatakiwa kujipanga vizuri kupitia wakaguzi wake.

“Tumejifunza mambo mengi katika mkutano huu, kuna baadhi ya maeneo inawezekana yalikuwa hayatekelezwi kwa ufanisi, kwa sasa tunakwenda kuongeza tija zaidi kwa kuwa wakaguzi wetu sasa wanaweza kufanya kaguzi za kitaalamu zaidi kuliko ilivyokuwa awali”, alisema Bw. Kigai.

Bw. Magai amesema kuwa Mkutano huo wa 10 wa Wakaguzi wa Ndani Afrika uliofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, umechochea hamasa ya kufanyakazi kwa weledi mkubwa unaoambatana na matumizi ya teknolojia ili kuhakikisha taratibu muhimu katika eneo la ukusanyaji mapato, matumizi na pia mazingira na uatawala bora zinafuatwa.

Akizungumzia kuhusu ukaguzi wa mazingira, Bw. Kigai alisema kuwa ni eneo jipya ambalo wakaguzi waliona sio muhimu lakini kwa sasa limepewa uzito mkubwa ukizingatia kwa sasa kuna athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi yanayosababisha mafuriko, joto na maporomoko ya ardhi jambo ambalo mkaguzi anatakiwa kuwa na jukumu muhimu katika kuhakikisha taasisi zote za umma zinajipanga katika kukabiliana na na masuala hayo.

Aidha alisema kuwa mkutano huo ulijumuisha eneo la Utawala bora na masuala ya kitaalamu katika eneo la ukaguzi ambao ulifanyika kwa siku mbili na kufuatiwa na Kongamano lilochukua siku tatu ambalo lilijikita katika masuala ya ukaguzi wa ndani.

Alisema lengo kubwa lilikuwa kuwakutanisha wakaguzi wa ndani wa Afrika na nje ya Afrika kwa ajili ya kupata uzoefu kutoka nchi mbalimbali katika maeneo kadhaa yakiwemo ya ukaguzi wa hesabu, vihatarishi na mazingira.

About the author

mzalendo