marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

parmabet giriş

jojobet

kulisbet giriş

kingroyal giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

celtabet giriş

Kitaifa

WANAWAKE TARURA WATEMBELEA GEREZA LA WANAWAKE ISANGA

Written by mzalendo

Dodoma

Watumishi wanawake wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wamepongezwa kwa kuwawezesha wanawake wenzao waliopo kwenye gereza la wanawake la Isanga jijini Dodoma.

Wanawake wa TARURA wametembelea gereza la wanawake Isanga leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika Machi 8, kila mwaka

Kamishna Msaidizi wa Magereza na Mkuu wa Gereza Kuu-lsanga, Dodoma ACP. Zephania Neligwa amewapongeza wakati alipokea mahitaji mbalimbali kutoka kwa watumishi wanawake wa TARURA Jijini Dodoma.

ACP. Neligwa amesema mahitaji hayo yataenda kuwasaidia wanafunzi wao ambao ni wafungwa na mahabusi waliopo mafunzoni katika gereza la wanawake na kuongeza kwamba mahitaji hayo yatatumika ipasavyo.

“Mnapokuwa mnaadhimisha siku ya wanawake duniani sisi magereza tunaendeleza programu za urekebu kwa kuwajengea uwezo na ujuzi mbalimbali wanawake hawa ili hata watakaporudi uraiani waendelee kuzalisha na kuwa wajasiliamali.

Naye, Afisa Utumishi wa TARURA Bi. Ntuli Mwasalyanda amesema wao kama watumishi wanawake wanapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani wameona ni vyema kuwagusa/kuwafikia wanawake wenzao waliopo gereza la wanawake –Isanga.

“Tumeona ni jambo jema kuadhimisha siku ya wanawake duniani na wanawake hawa ili wajione kwamba nao ni sehemu ya wanawake waliopo uraiani, watambue kuwa jamii haijawatenga na ipo nao, tumefurahi kwa kuona wanajishughulisha na shughuli mbalimbali”.

Bi. Ntuli ameongeza “Tumefurahi namna wanawake hawa walivyowezeshwa kwa kufanya stadi mbalimbali za mikono ambazo zinawaletea maendeleo ikiwemo ujuzi baada ya kutoka magereza.

Kwa upande wake, Mratibu wa Magereza na Mkuu wa sehemu ya wanawake SO. Sifa Anyimike amewashukuru watumishi hao wanawake wa TARURA.

“Kwa kuwatembelea wanafunzi waliokinzana na Sheria katika gereza hili,” amesema.

Amebainisha lengo la mafunzo wanayoyapata wanawake hao ni kuwasaidia watakaporudi uraiani kwa kuwawezesha kujiunga na vikundi vingine vya wanawake wajasiliamali.

About the author

mzalendo