slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

pusulabet

matbet

vdcasino giriş

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Hacklink panel

Casibom

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

pusulabet

Featured Kitaifa

MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAMEANZA RASMI- DKT. BITEKO

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa safari ya matumizi ya nishati safi ya kupikia imeanza rasmi nchini ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa Serikali wa kuhakikisha kuwa wananchi na hasa kina mama Tanzania wanahama kutoka matumizi ya nishati ya kupikia isiyo safi kwenda kwenye nishati iliyo safi na salama.

Amesema hayo tarehe 7 Machi, 2024 wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa hafla ya ugawaji mitungi ya gesi na majiko banifu kwa wajasiriamali katika Soko la Temeke Stereo na Mbagala- Zakhem.

“Nataka niwaeleze kuwa, safari ya matumizi ya nishati safi ya kupikia imeanza katika wiki hii ambayo tunasherehekea siku ya Wanawake Duniani kwa sababu tunafahamu kwamba Mwanamke ni mwathirika mkubwa nishati isiyo safi ya kupikia na wanapata madhara mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa kifua, kubakwa na kutumia muda mrefu kutafuta kuni hivyo Serikali imeona kuwa ina wajibu wa kuweka mazingira wezeshi ili kumwezesha mwanamke kupata nishati safi na kwa gharama nafuu.” Amesema Dkt. Biteko

Amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa ni kinara wa matumizi ya nishati safi ya kupikia siyo tu kwa Tanzania bali Afrika nzima na ulimwenguni; na hii ilithibitika wakati akizindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika (African Women Clean Cooking Support Programme (AWCCSP) katika Mkutano wa Cop 28 Dubai ambayo imeungwa mkono na wadau mbalimbali hivyo kama nchi lazima iwe na mpango maalum wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Ameongeza kuwa, zoezi hilo la ugawaji wa mitungi ya gesi na majiko banifu halitaishia Dar es Salaam bali ni endelevu na litafanyika katika mikoa mbalimbali nchini ili wananchi katika maeneo yote wahamasike kutumia nishati safi ya kupikia.

Dkt. Biteko ametoa wito kwa viongozi wote wakiwemo wa Dini, Serikali, Jadi na makundi mengine kuibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia huku akisisitiza kuwa ajenda hiyo isiwe ya Serikali pekeyake, ambapo pia ameomba wadau zaidi wajitokeze kuungana na Serikali katika suala hilo kama ilivyo kwa kampuni ya Oryx ambayo imeonesha kwa vitendo kuwa inaiunga mkono Serikali kwenye nishati safi ya kupikia.

Aidha, amezitaka Taasisi kama vile Shule, Magereza na Hospitali watumie gesi kwenye matumizi ya kupikia na kuanza kubadilisha mifumo ya matumizi ya kuni kwenda kwenye Gesi ili kufanikisha ajenda ya Serikali ya Matumizi ya Nishati safi ya kupikia.

Dkt. Biteko pia amesisitiza utunzaji wa mazingira na misitu ili kuweza kupata maji ya uhakika, umeme na masuala mengine yanayotokana na utunzaji wa mazingira na kueleza kuwa ili vizazi vijavyo visiishi kwenye jangwa ni lazima kuchukua hatua sasa za kuzuia uharibifu wa mazingira.

Kutokana na hilo, ameagiza wasimamizi wa Misitu nchini ikiwemo Halmashauri na Serikali za mitaa kujikita kwenye uhifadhi na utunzaji wa mazingira badala ya kusubiri kukamata mkaa. Amesema kila mtu lazima atimize wajibu wake, kuacha tamaa ya kupata fedha kidogo kwa gharama ya mazingira na kwamba jambo la kulinda mazingira na misitu ni jambo la lazima.

Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko amesema kuwa, hali ya upatikanaji umeme nchini ikiwemo Mkoa wa Dar es Salaam inaendelea kuimarika na kwamba kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuna changamoto ya miundombinu ya kusafrisha umeme lakini Serikali inatenga fedha za kuimarisha miundombinu hiyo ambapo laini ya umeme kutoka Gongolamboto kwenda Mbagala inaimarishwa kwa kujenga laini kubwa zaidi ya umeme na pia transfoma iliyopo Mbagala yenye ukubwa wa MVA 50 inabadilishwa na kuwekwa ya MVA 120.

Amesema pia inajengwa laini ya umeme chini ya ardhi ya kilometa 6 kutoka Kurasini kwenda Ilala ambayo itapunguza mzigo wa laini ya Mbagala na hivyo kufanya upatikanaji umeme kuwa tulivu na himilivu.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amemshukuru Dkt. Biteko kwa maono yake ya kuhuisha azma na maono ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha wananchi wanatumia nishati safi ya kupikia na pia kuendeleza kampeni ya matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini.

Amesema kuwa tukio la leo ni mwendelezo wa matukio yaliyopangwa kutekelezwa na Wizara ya Nishati ambapo tarehe 9 Machi, 2024 Wizara ya Nishati itaendesha kongamano kubwa la Wanawake takribani 4000 kutoka Wilaya na Mikoa yote nchini ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani pamoja na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Mhe. Kapinga amesema kuwa, asimilia 63 ya wananchi nchini wanatumuia kuni kwa ajili ya matumizi ya kupikia, asilimia 25 wanatumia mkaa na asilimia takriban 5 wanatumia nishati mbadala kama Gesi hivyo bado safari ni ndefu kuelekea kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia na kwamba azma ya Rais ya asilimia 80 ya Wananchi kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2033 itafikiwa.

Amesema ugawaji wa vitendea kazi hivyo ni mwanzo tu kwani zoezi hilo litafanyika nchi nzima kadri rasilimali zitakavyopatikana kwani lengo ni kuwafikia wananchi wengi zaidi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameishukuru Wizara ya Nishati kwa uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kugawa mitungi hiyo ya gesi ambayo ameeleza kuwa itasaidia kuondoa ukataji wa miti hovyo, kulinda dunia pamoja na ikolojia iliyopo.

Pia, amepongeza juhudi zinazofanywa na Wizara ya Nishati kupitia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambazo zimepelekea changamoto ya umeme kupungua kwa asilimia 85 katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam ikiwemo Mbagala.

Kwa upande wake, Katibu wa Mama Lishe, Soko la Temeke Stereo, Mwanahamisi Nditi ameshukuru Serikali kwa kupata mitungi ya gesi na majiko banifu ambayo itawawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi kwenye soko hilo na kueleza kuwa matumizi ya kuni na mkaa yamekuwa na changamoto kwao kutokana na kufanya kazi kwenye moshi mwingi ambao unaathiri afya zao.

Pia ameomba kuwa zoezi hilo liendelee kutokana na uwingi wa mama lishe katika soko hilo ambao ni takriban 78 na wasaidizi wao wapatao 70.

Viongozi wengine waliofuatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati katika hafla hiyo ya ugawaji wa mitungi ya gesi ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba na Naibu Katibu Mkuu, Dkt. James Mataragio.

About the author

mzalendo