slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

imajbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

capitolbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

cratosroyalbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

deneme bonusu

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

deneme bonusu veren siteler

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

NELSON MANDELA YAPOKEA BETRI 64 ZA KUHIFADHI NISHATI YA JUA

Written by Alex Sonna

 

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ubunifu   Profesa Anthony Mshandete (katika) pamoja na Balozi wa India Nchini Tanzania Binnaya Srikanta Pradhan (Kulia)  wakikata utepe kuashiria mapokezi rasmi ya Betri 64 zenye uwezo wa kuhifadhi nishati jua kwa saa nane kutoka Serikali ya India.

Balozi wa India nchini Tanzania, Binnaya Srikanta Pradhan akiongea na wajumbe waliohudhuria  hafla ya makabidhiano ya Betri  64  zenye uwezo wa kuhifadhi nishati jua kwa saa nane  zilizotolewa na  Serikali ya India kwa  Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia

Balozi wa India nchini Tanzania, Binnaya Srikanta Pradhan (katikati) akiongozana na menejimeti ya Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia wakielekea katika eneo la kukata utepe katika hafla ya makibhiano ya betri 64.

Balozi wa India nchini Tanzania, Binnaya Srikanta Pradhan (katikati) akiwa katika picha ya pamoja   na wajumbe waliohudhuria  hafla ya makabidhiano ya Betri  64  zenye uwezo wa kuhifadhi nishati jua kwa saa nane kutoka Serikali ya India kwa ajili ya Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia.

Balozi wa India nchini Tanzania, Binnaya Srikanta Pradhan (katikati) akiwa katika picha ya pamoja   na Menejimenti  ya Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia wakati wa   hafla ya makabidhiano ya Betri  64  zenye uwezo wa kuhifadhi nishati jua kwa saa nane kutoka Serikali ya India kwa ajili ya Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia.

Na Mwandishi wetu

Taasisi ya Afrika ya  Nelson Mandela ya  Sayansi na Teknolojia  (NM-AIST) imepokea betri 64  zenye uwezo wa kuhifadhi nishati jua kwa saa nane kutoka Ubalozi wa India nchini Tanzania,  zitakazowezesha  kompyuta yenye uwezo mkubwa wa kuchakata data  kwa kasi kubwa  (Param Kilimanjaro Super Computer) ambayo ina uwezo wa  kufanya kazi kwa saa 24.

 

Akizungumza katika hafla ya  makabidhiano hayo leo tarehe 19 Agosti,2023 Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ubunifu   Profesa Anthony Mshandete alisema kompyuta hiyo inauwezo wa kuchakata data kwa kasi ya hali ya juu na tangu ilipozinduliwa miaka sita iliyopita ilikumbana na changamoto ya nishati pale umeme unapokatika.

 

 

Alisema upatikanaji wa Betri hizo utawezesha kompyuta hiyo kufanya kazi kwa ufanisi kwa manufaa ya taasisi ambapo hutumika kwa ajili ya kufundisha shahada ya pili ya (Master’s Degree) , kuchakata data za Kibailojia pia itatumika kuchakata data kutoka katika taasisi mbalimbali za Serikali  na  itasaidia  katika  kuhifadhi data nyeti za serikali. 

 

“Kompyuta hii  itasidia kuhifadhi data ndani na nje ya Tanzania kwani inauwezo mkubwa katika ufanisi wenye tija katika masuala ya Tehama, na tunashukuru kwa betri hizi ambazo zitawezesha upatikanaji wa uhakika wa umeme katika kufundishia masomo mbalimbali chuoni hapa “Anasema Profesa Mshandete.

 

 

Kwa upande wake Balozi wa India nchini Tanzania, Binnaya Srikanta Pradhan alikipongeza kituo cha Umahiri cha Teknolojia Afrika Mashariki, katika masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika kutoa elimu zaidi katika masuala ya TEHAMA (ICT).

 

Alisema India inatambua mchango mkubwa wa  masuala ya  teknolojia na kuipongeza taasisi hiyo kwa kutoa elimu katika masuala ya kompyuta.

 

“India itaendelea kuhakikisha masuala ya Tehama yanakua zaidi na chuo hiki ni sehemu ya kutoa elimu ya Tehama kwani Dunia hii ina mabadiliko mengi katika masuala ya TEHAMA , nawapongeza kwa kuimarisha masuala ya teknolojia ” Alisema Balozi Pradhan

 

 

 

Naye Kaimu Mkuu  wa Shule ya Masuala ya Tehama, Hesabati na Mawasiliano  Dkt, Judih Leo aliishukuru Serikali ya India kwa kuendeleza Ushirikiano na Kituo hicho na kwa kuwezesha upatikanaji  betri utakaosaidia  Kompyuta hiyo kubwa (Super Computer)  inayoyofanya kazi za tafiti  kufanya kazi kwa bidii kwani awali walikuwa na changamoto ya umeme pale wanapotaka kufanya kazi zao,  lakini sasa uwepo wa betri hizo utawezesha ufanisi zaidi katika utoaji wa mafunzo kwakutumia kompyuta hiyo.

 

Serikali ya India na Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia imekuwa ikishirikiana kwa karibu katika kuhakikisha  teknolojia inakuwa kwa kasi katika kuleta maendeleo  kupitia masomo ya TEHAMA.

 

About the author

Alex Sonna