Featured Michezo

MWARABU AELEZEA ALIVYOSHINDA TSH 54M MERIDIANBET

Written by mzalendoeditor

Jisajili Meridianbet leo upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo uupendao kuna Aviator, Poker, Titan Roulette na mingine mingi. Kujisajili bonyeza hapa https://a.meridianbet.co.tz/c/valU8Z

 

Moja ya stori inayogonga vichwa sehemu nyingini hii ya Mwamba aliyewapiga Meridianbet Tsh Milioni 54 na Laki saba, jamaa anajulikana kwa jina la Mwarabu ameibuka hadharani na kutaja mbinu alizozitumia mpaka akashinda pesa hiyo ndefu ambayo inamfanya kuwa Milionea kwa sasa mjni.

Mwarabu ni mkazi wa Dar Es Salaam ambaye Meridianbet wamemtanganza kuwa mshindi mkubwa wa Tsh 54,700,000/= (Milioni Hamsini na Nne na Laki Saba) ambapo alicheza dau dogo la Elfu Hamsini tu (50,000/=) kupitia kasino ya mtandaoni hii ni bahati iliyoje.

Gwiji huyu ambaye majina yake kamili yamehifadhiwa alicheza sloti ya 100 Burning Hot inayopatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, sloti hii inalipa sana kwani ushindi ni rahisi kuupata kwa dau dogotu la kuanziaTsh 100/=

Alipoulizwa kwa njia ya simu kuhusu ushindi huo alijibu“Najisikia furaha sana mwanzo nilikua nikicheza na kula pesa ndogondogo hatimaye leo nimepiga mkwanja huu wa Mamilioni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet haijawahi niangusha hata siku moja ndiyo maana nacheza kila siku”

 

“Naipenda sloti ya 100 Burning Hot kwa sababu inanipa sloti nyingi za kucheza na zote ni rahisi”Mshindi wa Milioni 54

Sloti ya 100 Burning Hot ni  miongoni mwa  michezo pendwa ya kasino inayotoa mkwanja muda  wowote, lakini pia sloti nyingine rahisi kushindani  Aviator, Poker na Titan Roulette yote unaipata kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kupitia www.meridianbet.co.tz

Je Unahitaji kufahamu Sloti hii Inakuaje?

100 Burning Hot ni sloti rahisi sana kuicheza ina mistari 5 ya ushindi huku kukiwa na mingine 100 ya ziada, sloti hii inakuja na machaguo mengi ya ushindi kama vile namba 7, alama ya dola, na alama ya ushindi mkubwa kabisa ya “Wild’hiyo inakupa bonasi ya kushinda mara nyingi. Cheza sasa kwa dau dogo la kuanziaT sh 100/= kubwa Zaidi Sloti hii inakupatia mizunguko 100 ya bure.

About the author

mzalendoeditor