marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

lordbahis

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

imajbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

jojobet

marsbahis

imajbet giriş

imajbet

ngsbahis

piabellacasino

mislibet

ngsbahis

goldenbahis

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

ligobet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

bets10

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

goldenbahis

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

bahsegel

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

romabet

jojobet

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

kalitebet

norabahis

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MCHAKATO WA MAANDALIZI YA DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050

Written by Alex Sonna

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kionesha kitabu cha Muongozo wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, baada ya kuzindua mchakato huo, akishudiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(katikati), na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi ya yanazingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 , jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akitoa maelezo ya utekelezaji wa mambo muhimu ya kimaendeleo yaliyofanyika katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2025,  wakati wa uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira Mpya ya Maendeleo ya Taifa 2050 , jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akimkabidhinkitabu cha muongozo wa uandaaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Lawrence Mafuru (Kushoto), baada ya uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), jijini Dodoma.

Meza Kuu iliongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, wakiwa katika picha ya pamoja na mawaziri baada ya uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, jijini Dodoma.

Meza Kuu iliyoongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, wakiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Wizara ya Fedha na Mipango baada ya uzinduzi wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, jijini Dodoma.

Na Farida Ramadhani, WFM -Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa maagizo sita ya kuzingatiwa katika Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, ikiwemo kuimarisha uwezo wa uchumi uliopo na kulinda mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025.

Alitoa maagizo hayo jijini Dodoma wakati wa akizundua Mchakato wa Maandalizi  ya dira mpya ya Maendeleo ya Taifa 2050.

Alisema maandalizi hayo pia yazingatie matumizi ya fursa ambazo hazijatumiwa ipasavyo hadi sasa na kuzikamata fursa zinazochipukia huku akitolea mfano kilimo, mifugo na uvuvi, mazao ya misitu, uongezaji thamani ya mazao pamoja na uvunaji wa rasilimali za kimkakati na kujenga viwanda.

“Katika kilimo Tanzania inafursa ya kuwa ghala la chakula katika Bara la Afrika  na hata mashariki ya kati na duniani kama tukilenga uzalishaji mkubwa wa mahindi, ngano, shayiri, maharage ya soya, sukari, mafuta ya kupikia, korosho, matunda, mbogamboga na viungo ”, alibainisha Mhe. Dkt. Mpango.

Mhe. Dkt. Mpango alisema maamdalizi pia yazingatie suala la elimu, hususani elimu ya sayansi, elimu ya ufundi na ufundi stadi, utafiti na maendeleo na ubunifu ili kukuza ujuzi na uwezo wa nguvu kazi ya Taifa.

“Jambo la nne ni namna gani tutavutia na kuasili teknolojia ili kukuza tija katika sekta zote za uzalishaji na kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ikiwa ni pamoja na kuingia ubia wa kimkakati ili kuiwezesha Tanzania kuwapita washindani wetu katika kipindi kifupi” , aliongeza Mhe. Dkt. Mpango.

Alisema kubaini uhalisia wa rasilimali zote zitakazo hitajika kuwezesha utekelezaji makini wa Dira mpya na utekelezaji wa mipango, pamoja na kubainisha mfumo thabiti wa ufuatiliaji na tathimini kwa kuangalia vigezo mahsusi vilivyowekwa.

Mhe. Dkt. Mpango alisema ni vema timu zilizoundwa zikajifunza kutoka katika nchi zilizoendelea kwa kasi kuanzia miaka ya 1960 hususan zile za Bara la Asia pamoja na kuangalia namna nchi nyingine zilivyoweza kujikwamua kutoka katika uchumi wa kati.

Alisema ni matumaini ya Serikali kuwa wananchi wote watapata nafasi ya kutoa maoni yao katika mchakato wa maandalizi ya Dira mpya ambayo inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii.

“Vile vile makundi mahsusi kama vile Bunge, Mahakama, Sekta Binafsi, Idara za Seriali, Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Taasisi za Elimu, Asasi za Kiraia na Watanzania waishio ughaibuni na washirika wetu wa maendeleo watapatiwa muda wa kutosha kushiriki mchakato huu muhimu”, alibainisha Mhe. Makamu wa Rais.

Aidha, aliagiza Wizara zote, Taasisi za Umma, wakala wa Serikali, Idara zinazojitegemea, Sekretarieti za mikoa na Serikali za Mitaa, Sekta Binafsi, Wanadiaspora na Wadau wa Maendeleo kutoa ushirikiano kwa timu ya maandalizi ya Dira mpya ya Maendeleo 2050  pale watakapohitajika kufanya hiyo.

Kwa upande wake Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) alisema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 umefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika nyanja za uchumi, elimu, afya, miundombinu, umeme, mawasiliano na michezo.

Alisema kabla ya utekelezaji wa Dira iliyopo sasa makusanyo ya kodi kwa mwezi yalikuwa Sh. bilioni 30, lakini baada ya utekelezaji wa Dira hiyo makusanyo kwa mwezi yamefikia zaidi ya Sh. trilioni 2.

“ Kabla ya Dira umeme ulikuwa unakutanao makao makuu ya mikoa na makao makuu ya wilaya chache, sasa tunaongelea idadi ndogo ya vijiji na vitongoji ambavyo havijapata umeme baada ya utekelezaji wa Dira”, alibainisha Mhe.Dkt. Nchemba.

Kuhusu suala la elimu Mhe. Dkt. Nchemba alisema kabla ya utekelezaji wa Dira ilikuwa ni jambo la kawaida wanafunzi waliomaliza elimu ya msingi kutochaguliwa kujiunga na elimu ya Sekondari lakini sasa wanafunzi wanaomaliza wanajiunga na elimu ya Sekondari.

Awali akitoa maelezo kuhusu Dira, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba alisema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 umewezesha nchi kufikia mafanikio mbalimbali ikiwemo kuingia katika uchumi wa kati wa hadhi ya chini ambapo Taifa lilifanikiwa kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa wastani wa asilimia sita na kupungua kwa kiwango cha umaskini kwa zaidi ya asilimia tisa kutoka asilimia 35.7 mwaka 2000/01 hadi asilimia 24.6 mwaka 2017/18.

Alisema vifo vya mama na watoto nchini vimepungua kutoka vifo 854 kwa vizazi 100,000 na vifo 99 kwa vizazi 1,000 mtawalia mwaka 2000 hadi vifo 524 kwa vizazi 100,000 na vifo 36 kwa vizazi 1,000 mtawalia mwaka 2020.

“Kiwango cha udahili wa wanafunzi wa elimu ya msingi kimeongezeka kutoka asilimia 58.8 mwaka 2000 hadi 95.7 mwaka 2020; upatikanaji wa maji umeongezeka kutoka asilimia 50 mwaka 2000 hadi asilimia 86.7 mwaka 2020 kwa mijini na asilimia 55 mwaka 2000 hadi asilimia 72.3 mwaka 2020 kwa vijijini; na upatikanaji umeme vijijini umeongezeka na kufikia asilimia 69.8 mwaka 2020”, alibainisha Dkt. Mwamba.

Kuhusu maandalizi ya Dira 2050, Dkt. Mwamba alisema maandalizi hayo yametokana na mambo manne ikiwemo kuelekea ukomo wa utekelezaji wa Dira 2025, kuendeleza mafanikio yaliyofikiwa kutokana na utekelezaji wa Dira 2025,  uhitaji wa mkakati utakaowezesha nchi kunufaika na maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia yanayoendelea kuibuka duniani.

“ Masuala kama vile uchumi wa buluu, matumizi ya roboti, biashara ya hewa ukaa) pamoja na uhitaji wa Mkakati utakaoanisha Agenda ya Maendeleo ya nchi na mikakati mingine ya Kikanda na Kimataifa ambapo Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 itahakikisha kuwa Tanzania inaendelea kuoainisha Agenda yake ya Maendeleo na Agenda na Mikakati ya Kimataifa”alisema Dkt. Mwamba

Alisema maandalizi ya Dira hiyo yanajumuisha tathmini ya utekelezaji wa Dira 2025 kwa kuwa  tathmini hiyo ni muhimu katika kuainisha mafanikio, hatua za utekelezaji na changamoto zilizojitokeza kipindi cha utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025.

About the author

Alex Sonna