Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Featured Kitaifa

WAZIRI OMAR AISIFU SELF KWA KUONGEZA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA KIFEDHA

Written by Alex Sonna

 

Na Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM 

MFUKO wa SELF Microfinance Fund umeendelea kujidhihirisha kuwa chombo muhimu katika kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia utoaji wa mikopo, bima na elimu ya fedha, hatua iliyomvutia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ambaye amepongeza mchango wa taasisi hiyo katika kuimarisha ujumuishi wa kifedha nchini.

Balozi Omar alitoa pongezi hizo alipotembelea banda la SELF katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), maarufu Sabasaba, leo Julai 2, 2026, ambapo alisema mfuko huo umeendelea kutekeleza kwa ufanisi jukumu lake la kuwafikia wananchi kwa huduma za kifedha na elimu inayowasaidia kutumia fursa za maendeleo.

SELF Microfinance Fund ni taasisi ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Fedha inayotoa huduma za mikopo, bima na elimu ya fedha kwa lengo la kuwawezesha wananchi, hususan wenye kipato cha chini, kuanzisha na kuendeleza shughuli za kiuchumi.

Akizungumza kuhusu huduma zinazotolewa na mfuko huo, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara na Masoko wa SELF Microfinance Fund, Petro Mattaba, amesema taasisi hiyo hutoa mikopo kwa taasisi za huduma ndogo za fedha pamoja na mikopo ya moja kwa moja kwa wananchi.

Amesema mikopo inayotolewa kupitia taasisi za huduma ndogo za fedha husaidia kuwafikia wananchi waliopo maeneo ambayo SELF haiwezi kuyafikia moja kwa moja, hivyo kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa makundi mbalimbali.

Mattaba amesema walengwa wa mikopo ya moja kwa moja ni pamoja na watumishi wa umma, wafanyabiashara wadogo na wa kati, wakulima, wafugaji na wavuvi, ambao hupatiwa mitaji ya kuwawezesha kupanua shughuli zao za uzalishaji na biashara.

Ameongeza kuwa SELF ina matawi 12 Tanzania Bara na tawi moja Zanzibar, hatua inayorahisisha wananchi kupata huduma za mikopo, bima na ushauri wa kifedha katika maeneo mbalimbali nchini.

“Tumeshiriki Maonesho ya Sabasaba kwa lengo la kuwaelimisha wananchi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na SELF, ikiwemo mikopo, bima na elimu ya fedha, ili waweze kutumia fursa hizo kuboresha maisha yao na kukuza shughuli zao za kiuchumi,” amesema Mattaba.

Ameeleza kuwa SELF ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki katika utekelezaji wa programu mbalimbali za Serikali zinazolenga kuwawezesha wananchi kiuchumi, zikiwemo programu za mikopo kwa vijana, wanawake na makundi mengine maalumu.

Mattaba amesema mwaka 2025 mfuko huo ulitoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 43 iliyowanufaisha zaidi ya wananchi 38,000 nchini, huku zaidi ya asilimia 51 ya wanufaika hao wakiwa wanawake.

Ameongeza kuwa SELF inaendelea kuzipatia taasisi za huduma ndogo za fedha mikopo yenye riba nafuu ili ziweze kuwafikia wananchi wengi zaidi, hususan waliopo vijijini na maeneo yenye upatikanaji mdogo wa huduma za kifedha.

Amewahimiza wananchi kutembelea banda la SELF katika Maonesho ya Sabasaba ili kupata elimu kuhusu huduma zinazotolewa na mfuko huo pamoja na kufahamu fursa mbalimbali za mikopo zinazoweza kuwasaidia kuboresha maisha na kuinua shughuli zao za kiuchumi.

About the author

Alex Sonna