Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

PROF.SHEMDOE: ELIMU BORA NI MSINGI WA UCHUMI SHINDANI NA MAENDELEO YA TAIFA

Written by Alex Sonna

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-KIBAIGWA DODOMA

SERIKALI imezindua rasmi Mradi wa Twiga Future Forward Education Program unaotekelezwa kwa ushirikiano na Barrick Tanzania, huku ikisisitiza kuwa uwekezaji mkubwa unaoendelea kufanywa katika sekta ya elimu ni nguzo muhimu ya kujenga uchumi wenye ushindani, kuandaa rasilimali watu yenye ujuzi na kuongeza tija katika maendeleo ya taifa.

Akizindua mradi huo Kibaigwa wilayani Kongwa mkoani  Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali imeendelea kuweka elimu katika vipaumbele vyake kwa kuimarisha miundombinu ya shule ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata mazingira bora ya kujifunzia na kufikia ndoto zake.

Amesema elimu ndiyo msingi wa maendeleo endelevu na kwamba uwekezaji katika madarasa, mabweni na miundombinu mingine ya shule ni hatua muhimu ya kuandaa kizazi chenye maarifa, stadi na maadili kitakachochochea ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini.

“Elimu bora haiwezi kupatikana bila kuwa na mazingira bora ya kujifunzia na kufundishia, hivyo uwekezaji katika sekta hiyo ni mkakati muhimu wa kukuza rasilimali watu nchini,” amesema  Profesa Shemdoe.

Ameeleza kuwa kupitia ushirikiano kati ya Serikali na Barrick Twiga Minerals, zaidi ya Shilingi bilioni 70 zimetengwa kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu katika shule za sekondari nchini, ikiwemo ujenzi wa madarasa, mabweni na matundu ya vyoo.

Prof. Shemdoe amesema mafanikio ya mradi huo yametokana na mazungumzo yaliyofanyika kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,  na Mtendaji Mkuu wa Barrick Gold Corporation, Mark Bristow, yaliyowezesha kampuni hiyo kutoa msaada wa dola za Marekani milioni 30 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya shule nchini.

Katika kuhakikisha mradi huo unaleta matokeo yaliyokusudiwa, Waziri huyo amemuelekeza Katibu Mkuu wa TAMISEMI kuhakikisha fedha zilizobaki zinatumika kujenga bwalo katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaigwa ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa miundombinu hiyo muhimu.

Aidha, ameiagiza timu ya Serikali inayoshughulikia majadiliano na Barrick kurejea mezani kujadili uwezekano wa kupata ufadhili mwingine wa dola milioni 30 au zaidi ili kuongeza kasi ya ujenzi wa madarasa na miundombinu mingine, ikiwa ni maandalizi ya ongezeko kubwa la wanafunzi litakalotokana na madarasa mawili ya elimu ya msingi kuhitimu kwa wakati mmoja mwaka 2028.

Prof. Shemdoe pia amezitaka halmashauri zote zinazotekeleza mradi huo kuusimamia kwa umakini, kuhakikisha wakandarasi wanazingatia viwango vya ubora na kuweka mfumo endelevu wa matengenezo ya miundombinu itakayojengwa.

Kadhalika, amewataka wakuu wa shule, walimu, wazazi na wananchi kushiriki kikamilifu katika kulinda miundombinu hiyo ili iweze kuendelea kunufaisha wanafunzi wa sasa na vizazi vijavyo.

Amesisitiza kuwa utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi ukamilike ifikapo Agosti 30 mwaka huu, ili kutoa nafasi ya kuanza kwa awamu ya tatu bila kuchelewa.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkazi wa Barrick Tanzania, Melkiory Ngido, amesema kampuni imepokea maelekezo ya Serikali kuhusu mahitaji ya ziada ya miundombinu kwa ajili ya wanafunzi watakaomaliza elimu ya msingi mwaka 2028 na kwamba itayafanyia kazi kupitia kamati inayosimamia utekelezaji wa mradi huo.

Amesema hadi sasa Barrick imeshatumia dola milioni 20 katika utekelezaji wa mradi huo, huku dola milioni 10 zilizobaki zikitarajiwa kuelekezwa katika maeneo yatakayopangwa kwa pamoja na Serikali kulingana na mahitaji yaliyopo.

Kwa mujibu wa taarifa ya mradi huo, utakapokamilika utahusisha ujenzi wa madarasa 1,090 yenye uwezo wa kuhudumia wanafunzi 54,500, mabweni 270 yatakayochukua wanafunzi 21,600, pamoja na matundu ya vyoo 1,640 yatakayohudumia wanafunzi 49,200 katika halmashauri zote za Tanzania Bara.

Naye Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Atupele Mwambene, amesema mradi huo unalenga kuongeza uwezo wa shule za sekondari kupokea wanafunzi wengi zaidi, kupunguza msongamano madarasani, kuongeza nafasi za kuendelea na masomo hususan kidato cha tano na kuinua kiwango cha ufaulu.

Kwa upande wake, Afisa wa Barrick Tanzania, Penina Katuki, amesema uwekezaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 70 unaakisi dhamira ya kampuni hiyo ya kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuimarisha sekta ya elimu kwa kujenga mazingira bora, salama na rafiki kwa kujifunzia na kufundishia.

About the author

Alex Sonna