Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

BALOZI OMAR: SABASABA NI FURSA YA KUJENGA UCHUMI NA KUPATA ELIMU YA FEDHA KATIKA KUTIMIZA MALENGO YA DIRA 2050

Written by Alex Sonna


Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akipitia Kitabu cha Bajeti Toleo la Mwananchi (Budget), wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mchumi Mwandamizi Wizara ya Fedha, Bi. Consolata Komba.


Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Fedha wanaotoa Elimu kwa Wananchi katika Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Huduma za Hazina, Bw. Nsubili Joshua.

Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wa pili kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa usimamizi wa fedha mwandamizi, wizara ya fedha Bi. Grace Samwel, namna wanavyoelimisha wananchi kuhusu Mwongozo wa Utoaji wa Elimu ya Fedha, Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Huduma za Hazina, Bw. Nsubili Joshua.

Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kulia), akisikiliza maelezo ya Meneja wa Mawasiliano wa Benki Kuu ya Tanzania, Bi. Victoria Msina (katikati), kuhusu noti na sarafu mbalimbali za Shilingi ya Tanzania, wakati alipotembelea Benki hiyo katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Huduma za Hazina, Bw. Nsubili Joshua.

Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Deogratius Kwiyukwa, kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo, wakati alipotembelea Benki hiyo katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Huduma za Hazina, Bw. Nsubili Joshua.

Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Mfuko wa UTT Amis, Bi. Matha Mashika, kuhusu Bidhaa mbalimbali za uwekezaji katika Taasisi hiyo, wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi, Bw. Erastus Mtui, kuhusu namna wanavyoshughulikia Malalamiko ya Kodi na utoaji wa elimu ya namna wananchi wanapaswa kuwasilisha malalamiko, wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Katikati), akizungumza na Baadhi ya Watumishi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Eliamani Sedoyeka (kushoto), wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Huduma za Hazina, Bw. Nsubili Joshua.

Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza jambo na baadhi ya Wanafunzi ambao ni wanachama wa Vilabu vya Kodi na Vyuo Vikuu nchini, wakati alipotembelea Banda la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Huduma za Hazina, Bw. Nsubili Joshua, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Fedha ambao washiriki kutoa Elimu katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu ya “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

Na. Saidina Msangi na Asia Singano, WF, Dar es Salaam

Wananchi hususan vijana, wanawake na wajasiriamali wanaochipukia, wamehimizwa kutembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), ili kujipatia elimu kuhusu huduma zinazotolewa na Wizara pamoja na Taasisi zake na kujionea fursa za kiuchumi na uwekezaji zinazochochea ukuaji wa uchumi wa Taifa.

Rai hiyo ilitolewa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati akizungumza na vyombo vya habari alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha, katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu kuu “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Mhe. Balozi Omar, alisema kupitia maonesho hayo ambayo yameendelea kuwa bora kila mwaka wananchi watakaotembelea Banda hilo watapata maelezo ya kina yatakayoridhisha kuhusu huduma za Wizara na fursa zilizopo kwa ajili yao.

“Tunategemea wananchi watakaotembelea Banda la Wizara ya Fedha wataridhika na maelezo haya ya namna idara zinavyotekeleza majukumu yake, pamoja na fursa zilizopo kwa wananchi, hasa vijana, watu wanaofungua biashara, na wanawake hivyo natoa rai kwa Watanzania wote kutembelea Banda letu,” alisema Mhe. Balozi Omar.

Aidha, Balozi Omar alisema kuelekea utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050 inayolenga kufikia uchumi wa Dola trilioni moja kufikia 2050, Tanzania inahitaji uwekezaji mkubwa ili kukuza uchumi wa sasa ambapo nguvu kubwa inatakiwa itoke kwenye uwekezaji wa ndani ili umiliki wa uchumi wa nchi ubaki mikononi mwa Watanzania wenyewe.

“Tunategemea ukuzaji huu wa uchumi utokane na uwekezaji mkubwa wa Watanzania wenyewe kuwekeza kwenye fursa zilizopo, ili wale wawekezaji wa nje wakija wakute tayari tunaendelea ili umiliki wa uchumi wetu sehemu kubwa utokane na uwekezaji wa ndani,” alisisitiza Balozi Omar.

Aliongeza kuwa utekelezaji wa Dira ya 2050 unatarajiwa kuchukua kipindi cha miaka 25, ukiwa umegawanywa katika awamu za miaka mitano mitano ambapo utekelezaji umeanza rasmi Julai moja mwaka huu ukiongozwa na Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano.

Aidha, Balozi Omar alitoa rai kwa Watanzania kuchangamkia fursa zinazotokana na miradi ya kimkakati iliyotajwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kipindi hiki cha miaka mitano hadi 2030 ambapo Serikali imepanga kufanya mapinduzi makubwa kwenye sekta ya miundombinu na nishati.

‘‘Mbali na kukamilisha reli ya SGR inayoendelea sasa, Serikali imepanga kujenga njia mpya mbili za kimkakati kutoka Mtwara kwenda Mbamba Bay, na kutoka Tanga kupitia Arusha hadi Musoma,’’alifafanua Balozi Omar.

Aliongeza kuwa Serikali inalenga kuongeza uzalishaji wa nishati ya umeme kutoka megawati zaidi ya 4,000 za sasa na kufikia megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030, kuendeleza miradi mikubwa ya maji, mtandao wa Taifa wa maji, miradi ya umwagiliaji, Barabara pamoja na mawasiliano ili kufungua fursa zaidi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.

Mhe. Balozi Omar alitoa rai kwa Watanzania wote kuchangamkia fursa zinazopatikana katika utekelezaji wa miradi hiyo na kuwa sekta ya fedha iko tayari kuwawezesha mitaji wale wenye nia ya kuwekeza katika sekta mbalimbali.

About the author

Alex Sonna