Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MALEZI BORA NI UWEKEZAJI WA KIZAZI NA MAENDELEO YA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI

Written by Alex Sonna

 

 

Na Jackline Minja, WMMJW Mtwara

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, amesisitiza umuhimu wa malezi na makuzi bora kwa watoto, akieleza kuwa ndiyo msingi wa kujenga kizazi chenye maadili, afya njema, elimu na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii na Taifa.

Akizungumza katika nyakati tofauti tarehe 1Julai, 2026 mkoani Mtwara, Naibu Waziri Mahundi amesema malezi ya mtoto ni jukumu la wazazi wote wawili, hivyo akawataka akina baba na akina mama kushirikiana kwa karibu katika kuwalea watoto wao badala ya kumwachia mzazi mmoja jukumu hilo.

“Malezi ya mtoto si jukumu la mama pekee, Baba na mama wanapaswa kushirikiana kwa upendo, uwajibikaji na mshikamano ili kuwajengea watoto msingi imara wa maisha kwa kuwa watoto wa leo ndiyo viongozi na nguvu kazi ya kesho, hivyo wanahitaji kulelewa katika mazingira salama na yenye maadili mema,” amesema Naibu Waziri Mahundi.

Aidha, Naibu Waziri Mahundi amesema Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi yanayowainua wananchi kiuchumi kupitia fursa mbalimbali za uwezeshaji, hivyo amewahimiza wajasiriamali kutumia kikamilifu mikopo inayotolewa kupitia mabenki na taasisi za kifedha ili kukuza biashara zao, kuongeza kipato na kuboresha ustawi wa familia.

“Mikopo inayotolewa na Serikali ni fursa ya kujiletea maendeleo nawahimiza wajasiriamali kuitumia kwa malengo yaliyokusudiwa ili biashara zikue, kipato kiongezeke na hatimaye familia ziwe na uwezo wa kuwapatia watoto huduma bora za elimu, afya na lishe.” amesema Naibu Waziri Mahundi.

Katika ziara hiyo, Naibu Waziri Mahundi amempongeza Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka, kwa kuanzisha kituo cha kulelea watoto katika Soko la Chuno, akieleza kuwa kituo hicho ni mfano wa ubunifu unaowasaidia wazazi, hususan wajasiriamali, kutekeleza shughuli zao za kiuchumi huku watoto wao wakipata huduma ya uangalizi katika mazingira salama.

Naibu Waziri Mahundi amesema uwepo wa kituo hicho umeleta nafuu kwa wazazi wanaofanya shughuli za biashara sokoni hapo, huku ukiwa sehemu ya jitihada za kuhakikisha watoto wanapata malezi na ulinzi stahiki wakati wazazi wao wakitafuta kipato cha kuendesha maisha ya familia.

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana na Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini, Joel Nanauka, amesema elimu hiyo itaongeza uelewa wa jamii na kuwahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika kujenga familia imara na Taifa lenye maendeleo endelevu.

About the author

Alex Sonna