Featured Michezo

MERIDIANBET YAGAWA APRONS KWA MAMA NTILIE KARIAKOO NA MANZESE

Written by mzalendoeditor

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/EksK6q

Mama Ntilie ambao wanapatikana mitaa ya Manzese na Kariakoo wakijishughulisha na masuala ya upishi wa vyakula imekua furaha kubwa sana kwao leo ambapo timu ya Meridianbet imewafikia nakuweza kutoa Aprons kwa kina Mama hao ziwasaidie kwa ajili ya maandalizi ya chakula.

Kama tunavyojua kila mtu anapenda kula chakula ambacho kimeandaliwa kwenye mazingira safi na salama hata pale ambapo anakula chakula hicho asiwe na wasiwasi wa kula chakula ambacho si salama na mwisho wa siku kikamleta magonjwa  kama vile kuharisha, kipindupindu na mengine mengi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Na kuhakiksha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “ Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.

Kina mama wa maenao ya Kariakoo na Manzese walifanikiwa kutoa shukrani zao kwa Kampuni ya Meridianbet kwa msaada walioutoa kwao na mmoja wao ni Mama Juice K/Koo alisema“Nimefurahi sana kupewa kitendea kazi kama hichi, ambapo kwenye biashara yangu hii ya kuuza Juice itanisaidia kulinda mazingira na usafi wa mwili” Pia nawasihi wafanyabiashara wenzangu tuwaunge mkono Meridianbet katika huduma zao kwa kwakuwa nawao wanatukumbuka sana sisi wafanyabiashara”

  

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

About the author

mzalendoeditor