Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Uncategorized

WAZIRI MKENDA NA NAIBU WAZIRI KUNDO WAZINDUA KAMPUNI YA WAZOHURU MEDIA GROUP LIMITED

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  Kampuni ya WazoHuru Media Group Limited inayomilikiwa na Ndg Mathias Canal hafla iliyofanyika Mtaa wa Swaswa, Kata ya Ipagara Jijini Dodoma.

……………………………….

Na Innocent Natai, Dodoma

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amewataka vijana wa kitanzania kujenga utamaduni wa kujiajiri na kuwa wabunifu ili kuisaidia serikali kupunguza kundi la wasio na ajira.

Ametoa rai hiyo tarehe 4 Novemba, 2022 wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampuni ya WazoHuru Media Group Limited inayomilikiwa na Ndg Mathias Canal uliofanyika mtaa wa Swaswa, Kata ya Ipagara Jijini Dodoma.

Waziri Mkenda amesema kuwa mpaka sasa serikali imepiga hatua kubwa katika kuwajengea vijana uwezo wa kujiajiri ambapo uzinduzi wa kampuni hiyo inayojihusisha na masuala ya habari kijana Mtanzania amewekeza hivyo ameongeza chachu kwa vijana wengine kuona ni namna gani wanaweza kuajiriwa huku wamejiajiri na kuajiri vijana wengine.

“Sisi watanzania Tuongeze bidii ya Kufurahia mafanikio ya wenzetu, tukiona mwenzetu mwenye ndoto anafanikiwa tunamuunga Mkono kwa kumuombea na kumtakia kila la heri na tumekuja hapa na wabunge kuunga mkono jitihada hizi” Amesema Prof Mkenda

Awali akimkaribisha Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Mhandisi Mathew Kundo amempongeza Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Group Limited Ndg Mathias Canal kwa kuhakikisha anafuata sheria na Kanuni za uanzishwaji wa Kampuni na Kituo cha Habari kama yalivyo matakwa ya kisheria.

Baada ya mapinduzi ya teknolojia badala ya kusubiri taarifa kwenye televisheni ya nyumbani sasa tunaruhusu watu kuwa na televisheni ya mtandaoni na mwananchi anaweza kupata habari kupitia simu yake ya mkononi. “Na hapa leo tumezindua televisheni ya Mtandaoni ni jambo kubwa kama wizara tunaahidi kuwapa ushirikiano wa kutosha” Amesema

Pia ameongeza kuwa amefurahishwa na kuona kijana wa kitanzania anajiajiri na kuweza kuajiri vijana wengine ili kuhakikisha wanajipatia kipato na kuwezesha upatikanaji wa habari na elimu kwa jamii kwa urahisi.

Akitoa taarifa ya kampuni mbele ya Mgeni Rasmi Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya WAZOHURU MEDIA GROUP LIMITED Ndg Mathias Canal ameiomba serikali kuona namna ya kuwawekea mazingira mazuri vijana waliosomea masuala ya Habari na mawasiliano ya kujiajiri kwa kumiliki vyombo vya habari ambavyo vitarahisisha upatikanaji wa taarifa za kitaalamu na ujuzi kwa jamii.

Ameongeza kuwa mpango wa kampuni hiyo iliyojipambanua katika masuala ya Habari na mawasiliano ilianza kupitia kundi la WhatsApp Mkoani Iringa mwaka 2014 na baadae kuanzisha televisheni ya Mtandaoni (Youtube Tv) pamoja na Blog.

Canal amesema kuwa malengo ya kampuni hiyo ni pamoja na kuanzisha gazeti litakalofahamika kama WazoHuru, kuanzisha kituo cha redio itakayofahamika kama WazoHuru Fm na Televisheni itakayofahamika kama WTV.

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya WazoHuru Media Group Limited inayomilikiwa na Ndg Mathias Canal hafla iliyofanyika Mtaa wa Swaswa, Kata ya Ipagara Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Mhandisi Mathew Kundo,akitoa pongezi kwa wadau mbalimbali waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampuni ya WazoHuru Media Group Limited inayomilikiwa na Ndg Mathias Canal hafla iliyofanyika Mtaa wa Swaswa, Kata ya Ipagara Jijini Dodoma.

Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Wazohuru Media Group Limited Bw.Mathias Canal,akielezea lengo la kuanzisha kampuni wakati wa uzinduzi wa Kampuni hiyo  hafla iliyofanyika Mtaa wa Swaswa, Kata ya Ipagara Jijini Dodoma.

SEHEMU ya wageni walikwa wakifatilia hotuba ya uzinduzi wa Kampuni ya WazoHuru Media Group Limited inayomilikiwa na Ndg Mathias Canal hafla iliyofanyika Mtaa wa Swaswa, Kata ya Ipagara Jijini Dodoma.

Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Wazohuru Media Group Limited Bw.Mathias Canal,akiteta jambo na waheshimiwa wabunge mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Kampuni hiyo  hafla iliyofanyika Mtaa wa Swaswa, Kata ya Ipagara Jijini Dodoma.

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  Kampuni ya WazoHuru Media Group Limited inayomilikiwa na Ndg Mathias Canal hafla iliyofanyika Mtaa wa Swaswa, Kata ya Ipagara Jijini Dodoma.

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda,akikabidhiwa zawadi na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Wazohuru Media Group Limited Bw.Mathias Canal mara baada ya kuzindua Kampuni ya WazoHuru Media Group Limited inayomilikiwa na Ndg Mathias Canal hafla iliyofanyika Mtaa wa Swaswa, Kata ya Ipagara Jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna