Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Catherine Magige (kushoto) na Esther Maleko kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 19, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)