Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI ATETA NA MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJI KUTOKA NCHINI ISRAEL

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Nchini Israel wakiongozwa na Mkurugenzi wa Save a Child’s Heart Bi. Tamar Shapira (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 19-9-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa  Madaktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Nchini Israel wakiongozwa na Mkurugenzi wa Save a Child’s Heart Bi. Tamar Shapira,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 19-9-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Ujumbe wa Madaktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Nchini Israel, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor