Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

kavbet

kavbet

jojobet giriş

marsbahis giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

monobahis, monobahis giriş

alobet, alobet giriş

grandpashabet

betsat

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

betpas

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

kingroyal

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza oyna

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis giriş

sweet bonanza

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

jojobet giriş

holiganbet

sweet bonanza

casibom giriş

betflix

betflix

deneme bonusu

betpuan

bettilt

cashwin

holiganbet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

nesinecasino

Hacklink panel

zirvebet

meritking

Google

meritking giriş

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

favorisen

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

holiganbet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

nerobet

meritking

marsbahis, marsbahis giriş

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pokerklas

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

casibom

grandpashabet

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

jojobet

cratosroyalbet

cratosroyalbet giriş

sekabet giriş

tambet

dental implants turkey

mavibet

mavibet

Featured Uncategorized

RC MHITA ATAJA MAFANIKIO YA MKOA WA SHINYANGA MIAKA MINNE YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

Written by Alex Sonna

 

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Mboni Mhita,akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 14,2025 jijini Dodoma kuhusu Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita kwa kipindi cha Novemba 2020 hadi April 2025.

SEHEMU ya Waandishi wa habari wakifatilia hotuba ya Mkuu  wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Mboni Mhita,(hayupo pichani) wakati akizungumza  kuhusu Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita kwa kipindi cha Novemba 2020 hadi April 2025.

SEHEMU ya Waandishi wa habari wakifatilia hotuba ya Mkuu  wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Mboni Mhita,(hayupo pichani) wakati akizungumza  kuhusu Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita kwa kipindi cha Novemba 2020 hadi April 2025.

SEHEMU ya Waandishi wa habari wakifatilia hotuba ya Mkuu  wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Mboni Mhita,(hayupo pichani) wakati akizungumza  kuhusu Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita kwa kipindi cha Novemba 2020 hadi April 2025.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Mboni Mhita,akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 14,2025 jijini Dodoma kuhusu Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita kwa kipindi cha Novemba 2020 hadi April 2025.

Na Alex Sonna-DODOMA 
MKOA  wa Shinyanga unaendelea kuchanja mbuga katika kukuza uchumi wa viwanda na biashara, kwa kuimarisha mazingira rafiki ya uwekezaji, ukusanyaji wa mapato, utoaji wa leseni, upimaji wa maeneo ya biashara na utekelezaji wa miradi ya kimkakati yenye kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa huo Mboni Mohamed Mhita, katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 150.26 kutoka kwenye vyanzo vya mapato ya ndani ya Halmashauri, vikiwemo ushuru wa bidhaa, mazao, leseni za biashara, na mirabaha ya madini.
Mboni ameeleza hayo leo July 14,2025 Jijini hapa wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa hali hiyo imefanya kuwekeza kwa nguvu kwenye miundombinu ya biashara na viwanda ili kuunga mkono dhamira ya Rais Dkt. Samia ya kuijenga Tanzania ya viwanda. 
Aidha amesema katika kipindi hicho Mkoa umetekeleza miradi ya thamani ya bilioni 65.5 kutoka mapato ya ndani kwa ajili ya kuboresha huduma muhimu kama masoko, ofisi, barabara za ndani na maeneo ya uwekezaji.
Kwa upande wa sekta ya viwanda na biashara Mhita amesema Mkoa umepima viwanja 10,658 vya biashara, viwanda na huduma mbalimbali, sawa na asilimia 157 ya lengo,Hati miliki za ardhi zimetolewa kwa zaidi ya wafanyabiashara 20,000 kutoka 10,568 mwaka 2020 huku Hati za kimila zikiongezeka kutoka 816 hadi 4,930 mwaka 2025, hatua inayowezesha wananchi kupata mikopo na mitaji kupitia ardhi.
Amesema leseni za wachimbaji wadogo zimeongezeka kutoka 332 hadi 1,766, ikionyesha uhai wa biashara ya madini ambapo Mapato ya halmashauri kutoka sekta ya madini yamepanda kutoka milioni 745 hadi zaidi ya bilioni 3.3.
“Kwa mara ya kwanza, Mkoa wa Shinyanga ulishiriki Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) mwaka 2025, hatua iliyopelekea kutangaza bidhaa, wajasiriamali na fursa zilizopo kwa wawekezaji mbalimbali, 
Hii ilikuwa fursa muhimu ya kuitangaza Shinyanga kama kitovu cha biashara na uzalishaji Kanda ya Ziwa,” amesema Mhita.
Kuhusu miundombinu ya biashara na viwanda ameeleza kuwa Mradi wa TACTIC umetekelezwa kwa thamani ya zaidi ya bilioni 72.6, ukihusisha ujenzi wa masoko ya kisasa – Soko la Sango (Kahama), Soko la Matunda (Kambarage, Shinyanga),Ujenzi wa stendi kuu mpya – Mbulu na Kizumbi na Barabara za viwandani (Zongomela) na mifereji ya mvua. 
Licha ya hayo amezungumzia uboreshaji wa maeneo ya viwanda na huduma katika Manispaa ya Kahama na Shinyanga kuwa katika nishati na uwezeshaji biashara Vijiji vyote 506 sasa vimeunganishwa na umeme; vitongoji 982 kati ya 2,704 tayari vina huduma ya umeme. 
Amesema TANESCO imewekeza bilioni 492 kutekeleza miradi ya umeme na miradi 133 ya usambazaji Mitungi ya gesi 6,500 imetolewa ili kuendeleza matumizi ya nishati safi kwa ajili ya biashara ndogo, hasa upishi. 
Pia amesema Uwezeshaji wananchi kiuchumi umeimarika ambapo vikundi 1,124 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vimepatiwa mikopo ya jumla ya bilioni 8.56 huku Kaya 35,055 zikinufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini, ambapo zaidi ya bilioni 59.57 zilitolewa kuendeleza miradi ya kilimo na biashara ndogo. 
“Mkoa umesajili wajasiriamali 225 waliopatiwa vitambulisho, wakipata sifa ya kupewa mikopo nafuu kupitia benki ya NMB kwa riba ya asilimia 7 tu, ” amefafanua
Kwa mujibu wa  Mhita, Mkoa unajipanga kuimarisha zaidi viwanda vidogo na vya kati, kwa kushirikiana na SIDO, VETA na sekta binafsi, huku akiwasihi wawekezaji kuchangamkia fursa zilizopo kwa sasa.
“Shinyanga ni hazina ya biashara, rasilimali na nguvu kazi. Huu ndio muda wa kuwekeza kabla fursa hazijachukuliwa na wengine,” alisisitiza kwa msisitizo.

About the author

Alex Sonna