Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Catherine Magige (kushoto) na  Esther Maleko kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 19, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor