Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

betpuan

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

holiganbet

Featured Kitaifa

UJENZI BWAWA LA NYERERE WAFIKIA 67%, KAZI USIKU NA MCHANA

Written by Alex Sonna

  

Waziri wa Nishati, January Makamba akiwa na Bodi na Menejimenti ya TANESCO pamoja na Wahariri wa Vyombo mbalimbali wakikagua hatua za ujenzi zilizofikiwa katika mradi wa umeme wa Julius Nyerere.

***************************

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha megawati 2,115 umefikia asilimia 67. 

Makamba alieleza hayo 8/8/2022, mbele ya wajumbe wa bodi ya TANESCO, Wahariri na wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari waliotembelea mradi huo kujionea hatua iliyofikiwa katika kipindi cha mwaka mmoja.

Kwa mujibu wa Waziri Makamba, moja ya sababu za mafanikio haya ni ujenzi kufanyika usiku na mchana, jambo ambalo limeongeza kasi kwa kiwango kikubwa. 

“Kasi kubwa ya ujenzi inaendelea katika mradi huu. Sasa hivi kazi inafanyika saa 24 usiku na mchana. Mtakuwa mashahidi leo ikiwa ni sikukuu ya Nanenane lakini watu wapo kazini na wanabadilisha zamu tu,” alisema Makamba.

Sababu nyingine aliyoelezea Waziri Makamba ni maboresho na mabadiliko yaliyofanyika katika Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) pamoja na bodi yake ambazo zimekuwa zikifuatilia ujenzi wa bwawa hilo na kuwasimamia makandarasi kwa ukaribu. 

Akifafanua hatua hii iliyofikiwa, waziri Makamba alisema “ukitazama maendeleo ya mradi, miaka miwili na nusu ya mwanzo toka Disemba 2018 mpaka Juni 2021, tulifikia asilimia 37.  Leo tuko asilimia 67 (ongezeko la takriban mara mbili chini ya mwaka mmoja). Ni kasi kubwa katika kipindi kifupi”.

Katika ziara hiyo, wahariri na wanahabari walipata fursa ya kujionea maeneo nane muhimu katika mradi huo ikiwemo ujenzi wa tuta kuu (main dam) ambalo Juni 2021 ulikuwa asilimia 26 lakini hadi  hivi sasa asimilia 78.  Daraja la kudumu (permanent bridge) ambalo ni muhimu kupitisha vifaa vya ujenzi vyenye uzito mkubwa, ujenzi wake Juni 2021 ulikuwa asilimia 37.8, hivi sasa asilimia 95.

Pia, walijionea njia za maji kuendesha mitambo (power water ways) ambazo ujenzi wake kuanzia  Juni 2021 ulikuwa asilimia 43 sasa hivi upo 85. Jengo la mitambo (power house) Juni 2021 lilikuwa asilimia 29, sasa asilimia  51. Kituo cha kusafirishia umeme (switchyard) hadi Juni 2021 kilikua asilimia 38, sasa hivi asilimia 89.7.

Kabla ya kuanza kwa ziara hiyo ya kutembelea maeneo mbalimbali ya mradi, wahariri na wanahabari walipata fursa ya kuonyeshwa picha na video fupi za maendeleo ya mradi huo – hatua ambayo iliwafungua macho wengi kujionea kasi na ukubwa wa kazi iliyofanyika ndani ya mwaka mmoja. 

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile alisema , “tulikuwa tunasikia tu mradi unaendelea lakini hatukuwa na taarifa sahihi lakini leo (juzi), tumeona. Tunashukuru na kupongeza hatua iliyofikiwa kwenye mradi huu,” alisema.

Katika ziara hiyo, waziri Makamba pia alikutana na kuongea na mafundi ujenzi wanaotekeleza mradi huo. Pamoja na kumueleza waziri changamoto zao na mambo ambayo wangependa ayafanyie kazi, pia mafundi hao walieleza wanavyojivunia kushiriki ujenzi wa mradi huo wa kitaifa. “Tunajivunia kama vijana wa kitanzania kuwa sehemu ya mradi huu wa kihistoria nchini kwetu. Sasa unakwenda kwa kasi kubwa, vifaa vinafika kwa wakati na usimamizi umekuwa bora zaidi,” walisikika wakimueleza  waziri Makamba.

Bwawa la Nyerere linajengwa katika maporomoka ya mto Rufiji mkoa wa Pwani. linatarajiwa kuzalisha megawati 2115, zitakazoingizwa kwenye gridi ya Taifa ili kuongeza, kuboresha na kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini.

About the author

Alex Sonna