Featured Kitaifa

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 KUANZISHWA KWA STAMICO

Written by mzalendoeditor

 

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza katika kipindi cha Mizani kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu Maadhimisho ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)

Dkt. Biteko ameongozana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dkt. Venance Mwasse na Katibu wa Chama cha Wachimbaji Wanawake Tanzania (TAWOMA) Salma Ernest.

Zifuatazo ni matukio katika picha katika kipindi kinachoongozwa na Mwenyekiti wa kipindi Dkt. Ayub Rioba Chacha

About the author

mzalendoeditor