Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

casibom giriş

pokerklas

royalbet

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

casibom giriş

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

türk ifşa

casibom

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

casibom

mislibet giriş

jasminbet giriş

imajbet

mislibet

kavbet

perabet

artemisbet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino giriş

zirvebet

mislibet giriş

nerobet

jojobet

nerobet

jojobet giriş

kavbet giriş

Meritking

jojobet

สล็อตเว็บตรง

bets10

pusulabet

jojobet

marsbahis

holiganbet

trust score weak 3

holiganbet

ikimisli

tipobet

betpas

jasminbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

betgar, betgar giriş

monobahis, monobahis giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

roketbet

jojobet

ligobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

sahabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

google

primebahis

primebahis

marsbahis

atlasbet

Doctors | Akdeniz University Hospital

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

betflix giriş

betflix

betturkey

grandpashabet

sonbahis

holiganbet

mercurecasino

amgbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

meritking giriş

meritking giriş

meritking

marsbahis

meritking

marsbahis giriş

marsbahis giriş

meritking

jojobet

jojobet giris

jojobet telegram

jojobet telegram

jojobet

jojobet telegram

jojobet giriş

betplay

Hacklink panel

betturkey

holiganbet

google giir

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet giriş

primebahis

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

marsbahis

betpas

betgaranti

betoffice

primebahis

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

atlasbet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

betpas giriş

kralbet

tarafbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

betine

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

betkolik

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

bahisfair

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

deneme bonusu

casibom

jojobet

https://sjconsultors.com/

kavbet

Featured Kitaifa

UJUMBE WA BENKI YA DUNIA WAKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA TANZANIA YA KIDIJITALI

Written by Alex Sonna

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mulembwa Munaku akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Dunia walipofika katika Ofisi za Wizara hiyo Agosti 2, 2022 na kufanya mazungumzo kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali

Mratibu wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Honest Njau akizungumza wakati ujumbe wa Benki ya Dunia wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali walipotembelea Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Xavier Daudi

Mratibu wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Honest Njau (kushoto) akizungumza na Bw. Xavier Daudi, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (katikati) na Kiongozi wa Ujumbe wa Benki ya Dunia Dkt. Tim Kelly wakati ujumbe wa Benki ya Dunia wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali walipotembelea na kufanya mazungumzo na watendaji wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Mratibu wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Honest Njau (kushoto) akiteta jambo na Bw. Xavier Daudi, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora baada ya Ujumbe wa Benki ya Dunia wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali kutembelea na kufanya mazungumzo na watendaji wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao, Mhandisi Benedict Ndomba (kushoto) akiteta jambo na Mratibu wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali, Bw. Honest Njau wakati Ujumbe wa Benki ya Dunia ulipotembelea na kufanya mazungumzo na na Mamlaka hiyo katika ofisi zake zilizopo mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ziara ya Ujumbe wa Benki ya Dunia katika ofisi za Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mamlaka ya Serikali Mtandao zilizopo jijini Dodoma kwa lengo la kutembelea na kufanya mazungumzo kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali

……………………………….

UJUMBE wa Benki ya Dunia  umetembelea Ofisi za Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, zilizopo jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Mulembwa Munaku kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali. 

Ujumbe huo umeongozwa  na kiongozi wa ujumbe huo Dkt. Tim Kelly, wakiambatana na Mratibu wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali, Bw. Honest Njau pamoja na watumishi wanaotumika chini ya mradi huo.

Lengo la ugeni huo ni kukagua maendeleo ya utekelezaji wa maeneo yaliyoainishwa kwenye mradi huo ambapo walifanikiwa kutembelea Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na kupokea taarifa ya maendeleo ya utengenezaji wa mifumo ya tehama inayotengenezwa kupitia mradi huo. 

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi amezungumzia mifumo mitatu ya tehama inayotengenezwa kupitia mradi huo ambayo itarahisisha upimaji kazi wa watumishi na taasisi pamoja na kumsaidia mwananchi kuzifahamu taasisi za Serikali na taarifa zake kuhusu huduma zinazotolewa. 

 Aidha, ameitaja mifumo hiyo kuwa ni mfumo wa upimaji kazi wa watumishi (PEPMIS) mfumo wa upimaji kazi kitaasisi (EPIPMIS) na mfumo wa daftari la huduma za Serikali na taarifa zake (Government Servises Directory).

Bw. Daudi amesema kuwa lengo la kutengeneza mifumo hiyo ni Serikali kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi kwa urahisi kupitia mifumo ya kisasa ya tehama na kutimiza dhamira ya Serikali ya kuwa na Tanzania ya Kidijitali.

Kwa Upande wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao, Mhandisi Benedict Ndomba amesema kuwa kupitia mradi wa Tanzania ya Kidijitali mamlaka hiyo itafikisha mawasiliano ya mtandao wa Serikali kwenye wilaya na halmashauri zote nchini ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Sambamba na hilo amezungumzia maeneo mengine yanayotekelezwa kupitia mradi huo ni pamoja na maboresho ya miundombinu ya kuhifadhi mifumo katika sehemu za kuhifadhi mifumo pamoja na kuongeza uwezo wa matumizi ya intaneti yenye kasi katika taasisi zote za umma 

Amesema kuwa lengo la mradi ni kuboresha huduma za mtandao kwa urahisi na kuwezesha upatikanaji wa huduma za kiuchumi kwa njia ya mtandao kama vile mawasiliano baina ya wafanyabiashara (wauzaji na wanunuzi) 

Akiongea kwa niaba ya ujumbe huo kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Tim Kelly, Kiongozi wa Ujumbe wa Benki ya Dunia wa Mradi wa Kidijitali Tanzania amesema ziara ya ujumbe huo imelenga kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo katika maeneo yote ya utekelezaji toka ulipoanza kutekelezwa mwezi wa Septemba, 2021.

About the author

Alex Sonna