marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

lordbahis

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

imajbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

sonbahis

marsbahis

perabet giriş

imajbet

ngsbahis

bahiscasino

goldenbahis

ngsbahis

ngsbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

goldenbahis

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

bahsegel

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

onwin

romabet

betsilin

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

queenbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MHAGAMA AIASA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KUSIMAMIA HAKI WAKATI WA KUTOA MAAMUZI YA MASHAURI YA KINIDHAMU

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi chake na Makamishna wa Tume hiyo chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji.

Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama (meza kuu katikati) wakati akizungumza nao kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akitoa neno la utangulizi kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama kuzungumza na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Jaji (Mst.) Hamisa Kalombola akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama kabla ya Waziri huyo kuzungumza na Makamishna wa Tume hiyo kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.

Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe.  Balozi John Haule akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya Waziri huyo kuzungumza nao kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathew Kirama akiwatambulisha Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma (hawapo pichani) kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama kabla ya Waziri huyo kuzungumza na Makamishna wa Tume hiyo kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, mara baada ya kuzungumza na makamishna hao kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.

………………………………..

Na. Veronica Mwafisi-Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama ameiasa Tume ya Utumishi wa Umma kusimamia haki wakati wa kutoa maamuzi ya mashauri ya kinidhamu ya watumishi wa umma yaliyowasilishwa ili kutolewa maamuzi. 

Mhe. Jenista ametoa nasaha hizo jijini Dodoma wakati wa kikao kazi chake na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, kilichofanyika ofisini kwake kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji katika Tume ya Utumishi wa Umma.

Mhe. Jenista ameitaka Tume ya Utumishi wa Umma kutoa maamuzi ya mashauri yote ya kinidhamu kwa kuzingatia haki, kwa mujibu wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo ya Utumishi wa Umma iliyopo.

Waziri Jenista ameongeza kuwa, Tume isipo yashughulikia mashauri ya kinidhamu kwa haki na wakati, inakwamisha maendeleo ya nchi yasipatikane kwa wakati na ndio maana Serikali imekuwa ikiihimiza Tume ya Utumishi wa Umma kutekeleza wajibu wao kwa wakati na kwa kutenda haki.

 “Jambo la msingi hakikisheni haki inatendeka katika mashauri ya kinidhamu, mkifanya hivyo mtakuwa mnasimamia na kujenga nidhamu nzuri ya utendaji kazi katika Utumishi wa Umma,” Mhe. Jenista amesisitiza.

Aidha, Mhe. Jenista amezungumzia changamoto ukiukwaji wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo  ya utumishi wa umma unaofanywa na baadhi ya waajiri na watumishi, hivyo amewataka Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kufanyia kazi changamoto hiyo.  

Akizungumza kwa niaba ya Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe.  Balozi John Haule amemshukuru Mhe. Jenista Mhagama kwa kuwahimiza kutenda haki wakati wa kushughulikia mashauri ya kinidhamu na kumuahidi kuwa watatoa maamuzi ya mashauri ya kinidhamu kwa mujibu wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo iliyopo katika Utumishi wa Umma.

Tume ya Utumishi wa Umma imeundwa chini ya kifungu Na. 9 (1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298. Tume hii ina jukumu la kufuatilia na kusimamia uendeshaji wa shughuli za rasilimaliwatu katika Taasisi za Umma ikiwa ni pamoja na kuhakikisha Utumishi wa umma unaendeshwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu.

About the author

Alex Sonna