Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA SENSA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni  Mwenyekiti wa  Kamati ya Kitaifa ya Sensa akifungua mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli  Melia Zanzibar, Julai 30, 2022. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah.

Makamisaa wa Sensa, Anne Makinda (kulia)  na Balozi Mohammed Haji Hamza  (wa pili kushoto) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa, Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa Hoteli ya  Melia Zanzibar Julai 30, 2022.  Kushoto ni Mtwakwimu Mkuu wa Serikali ,  Albina Chuwa na wapili kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali  Zanzibar, Salum Kassim Ali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor