Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

marmaris escort

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas giriş

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Uncategorized

KISHINDO CHA JAFO NA MABALOZI WA MAZINGIRA DODOMA HIKI HAPA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akishiriki zoezi la usafi katika soko la Bonanza lililopo Jijini Dodoma zoezi lililoratibiwa na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma leo Julai 30,2022.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akibeba taka na kuzipeleka katika vyombo maalumu vya kuhifadhi taka mara baada ya kushiriki zoezi la usafi katika soko la Bonanza lililopo Jijini Dodoma zoezi lililoratibiwa na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma leo Julai 30,2022.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisukuma mkokoteni uliobeba taka  kuelekea  katika vyombo maalumu vya kuhifadhi taka kabla ya kusafirishwa kwenda Dampo mara baada ya kushiriki zoezi la usafi katika soko la Bonanza lililopo Jijini Dodoma zoezi lililoratibiwa na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma leo Julai 30,2022.

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na wafanyabiashara katika Soko la Bonanza jijini Dodoma mara baada kushiriki zoezi la usafi katika soko la Bonanza lililopo Jijini Dodoma zoezi lililoratibiwa na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma leo Julai 30,2022.

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa jiji,Mabalozi wa Mazingira Dodoma,Viongozi wa Soko la Bonaza  mara baada kushiriki zoezi la usafi katika soko la Bonanza lililopo Jijini Dodoma zoezi lililoratibiwa na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma leo Julai 30,2022.

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma mara baada kushiriki zoezi la usafi katika soko la Bonanza lililopo Jijini Dodoma zoezi lililoratibiwa na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma leo Julai 30,2022.

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Soko la Bonaza  mara baada kushiriki zoezi la usafi katika soko la Bonanza lililopo Jijini Dodoma zoezi lililoratibiwa na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma leo Julai 30,2022.

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiteta jambo na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma mara baada kushiriki zoezi la usafi katika soko la Bonanza lililopo Jijini Dodoma zoezi lililoratibiwa na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma leo Julai 30,2022.

……………………………..

Na Odilo Bolgas-DODOMA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Dkt.  Selemani Jafo ameiagiza Mikoa na Halmashauri kutengeneza mikakati ya kuhakikisha masoko katika maeneo yao yanakuwa safi.

Dkt. Jafo ametoa maagizo hayo leo Julai 30,2022 wakati akishiriki zoezi la usafi katika soko la Bonanza lililopo Jijini Dodoma zoezi lililoratibiwa na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma.

Waziri Jafo  amesema Miji na  Masoko mengi ni machafu kwa kuwa viongozi katika maeneo hayo hawaratibu vizuri zoezi la usafi.

”Naagiza kila Mikoa na Halmashauri kutengeneza mikakati ya kuhakikisha masoko katika maeneo yao yanakuwa safi pamoja na kuratibu upatikanaji wa vifaa vya kuwekea taka katika miji yao ili kuweka Mazingira yao kuwa safi.”amesema Dk.Jafo

Aidha Waziri Jafo amewapongeza  mabalozi wa mazingira,wafanyabiashara sokoni la Bonaza na wananchi kwa ujumla kwa kujitokeza kushiriki kufanya usafi wa mazingira.

Amewataka wafanyabiashara wa Soko hilo kuendelea kudumisha kwa vitendo kampeni ya usafi na mazingira kwa ujumla.

“Ndugu zangu agenda ya mazingira ni endelevu sote yatupasa kuitekeleza kwa vitendo na uwe ni utamaduni wetu sote”  amesisitiza Dk. Jafo

Aidha, Waziri Jafo amesema kuwa Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya usafi wa mazingira itakayofahamika kama ‘My Dustbin’ kwenye mitaa ya mbalimbali nchi nzima. 

Amesema kuwa kampeni hiyo itasaidia kuweka mitaa katika hali ya usafi kwa kuwa kila mwananchi anatakiwa kutupa taka kwenye mapipa yaliyoyopo kwenye mitaa badala ya kutupa ovyo.

Aidha Mhe. Dkt. Jafo amemtaka Meneja wa DUWASA ndani ya siku 14 kuhakikisha anafanyia marekebisho ya mfumo wa maji taka katika soko hilo ili kuepuka uchafuzi wa mazingira.

“Ukarabati huu wa Mfumo wa maji taka katika eneo hili ufanyike mara moja, Mkurugenzi wa DUWASA asimamie kwa karibu utekelezaji wake” amesema Dk.Jafo.

Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Mazingira Halmashauri ya Jiji la Dodoma Dickson Kimaro amesema Jiji la Dodoma tayari limeweka utaratibu wa ufanyaji usafi.

”Katika soko hilo wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakijitokeza kushiriki katika kufanya usafi wa mazingira sokoni hapo hivyo kuliweka jiji katika hali ya usafi”amesema Kimaro

Naye  mwakilishi wa Mabalozi wa Mazingira Emanuel Likuda amesema wamekuwa wakihamasisha jamii katika kushiriki kutunza mazingira pamoja na kufanya usafi katika jiji la Dodoma.

About the author

Alex Sonna