Featured Kitaifa

MAJALIWA ATETA NA BALOZI WA TANZANIA INDONESIA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Indonesia, Mheshimiwa Macocha Tembele ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma kuaga, Julai 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Indonesia, Mheshimiwa Macocha Tembele ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma kuaga, Julai 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor