Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

sahabet

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

royalbet

Featured Kitaifa

WAZIRI NDALICHAKO ATOA MAAGIZO MANNE KWA WAMILIKI WA VIWANDA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwa na wamiliki wa viwanda na Watendaji wakuu wa OSHA, WCF NSSF katika ziara ya kufuatilia Sheria za Kazi, Sheria ya Hifadhi ya jamii, Sheria zinazohusiana na Mahusiano kazini pamoja na masuala ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi kwa viwanda vya mkoa wa Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akipa maelezo ya utekeezaji wa Sheria za Kazi, Sheria ya Hifadhi ya jamii, Sheria zinazohusiana na Mahusiano kazini pamoja na masuala ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi kwa viwanda vya mkoa wa Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako Wafanyakazi katika kiwanda cha  Kansai Plasco Tanzania Ltd na Kiwanda cha Insignia wakati wa ziara ya kufuatilia Sheria za Kazi, Sheria ya Hifadhi ya jamii, Sheria zinazohusiana na Mahusiano kazini pamoja na masuala ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi kwa viwanda vya mkoa wa Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akifuatilia taarifa za kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na Ulipaji wa Michango ya Wafanyakazi kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wakati wa ziara yake kwenye viwanda vya mkoa wa Dar es Salaam.

……………………..

Na: Mwandishi Wetu – Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefanya ziara mkoani Dar es Salaam kwenye Viwandani na kuwataka wamiliki wa Viwanda kuzingatia matakwa ya Sheria za Kazi, Sheria ya Hifadhi ya jamii, Sheria zinazohusiana na Mahusiano kazini pamoja na masuala ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi.

Akiongea baada ya kufanya ziara katika viwanda vitatu vinavyojishuhulisha na utengenezaji wa rangi na mabomba, Mhe. Prof. Ndalichako amebainisha kuwa wamiliki hao wanajitahidi kutekeleza matakwa ya sheria na maelekezo ya serikali lakini yapo mapungufu hawanabudi kuyaboresha zaidi.

“Tumefanya kaguzi na kuona baadhi ya Wafanyakazi hawana vifaa kinga na wengine wanapewa lakini hawavitumii hivyo inabidi wasimamiwe, pia kuna viwanda tumesikia kiwango cha kelele za viwandani zipo juu sana hivyo, kwa mfanyakazi anayeshinda kiwandani inaweza kumuathiri bila kuwa na vifaa husika” alieleza

Aidha, amefafanua kuwa kwa upande wa Masuala ya Mifuko ya Hifadhi ya jamii Waziri Ndalichako amefafanua kuwa ofisi yake inapata malalamiko ya wastaafu ambapo changamoto zao zinatokana na waajiri wao wa zamani kutotimiza wajibu wao wa kuwalipia michango kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii.

“Serikali tumeamua kufuatilia kwa karibu juu ya michango ya wafanyakazi tunahitaji wazee wapate mafao yao bila usumbufu, tayari kwenye baadhi ya viwanda nimegundua hakuna uwiano kati ya Wafanyakazi wanaolipiwa michango kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)”

Mhe. Prof. Ndalichako amebainisha kuwa ni muhimu wamiliki wa Viwanda kulipa michango kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa kuwa lengo la Mfuko huo ni kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanaoumia kazini au kupata magonjwa yatokanayo na kazi wanapata mafao bora ya fidia kwa ajili ya kuwawezesha kumudu maisha yao.

Aidha, amebainisha kuwa katika baadhi ya viwanda amegundua wanawatumia Mawakala kuwalipa mishahara wafanyakazi wao, suala ambalo kwa Mawakala wanakuwa wanalitekeleza kinyume cha sheria na usajili wao, ambapo jukumu lao ni kumuunganisha Mfanyakazi na Taasisi. Utartibu huo, huwapa changamoto waajiri kufuatilia juu ya makato ya mshahara kama yanayokatwa kwa mujibu wa sheria.

Amesisitiza kuwa ili kuhakikisha wamiliki wa viwanda wanatekeleza maagizo yake manne yanayo jikita katika kuzingatia matakwa ya Sheria ameekeza Wakala wa Usalama na Afya mahali pa Kazi kunza na viwanda vilivyotembelewa ili watoe ushauri wa kitaalamu kwa ajili ya kuboresha mapungufu waliyobainisha.

“Wataalamu wa WCF na NSSF nao tumewaelekeza waje katika viwanda hivi wafanye ukaguzi wa kina ili kuona kwa nini kunakuwa na utofauti wa michango inayopelekwa NSSF na WCF katka kiwanda kimoja chenye wafanyakazi hao hao wanaopaswa kulipiwa michango yao kwenye mifuko hiyo”

Amewahakikishia kuwa serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wamiliki wa viwanda ili waweze kuendelea kufanya biashara nchini, hivyo amewataka wamiliki hao waendelee kuteleza sheria ya mahusiano kazini kwa kuwaruhusu wafanyakazi wao kujiunga na vyama vya Wafanyakazi katika maeneo yao ya kazi.

Katika hatua nyine; Watendaji wakuu wa Viwanda hivyo, wameishukuru serikali ya Awamu wa Sita kwa jitihada zake za kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji na kufanya biashara nchini.

Katika ziara hiyo, Mhe. Prof. Ndalichako ameambatana na Kamishina wa Kazi – Suzan Mkangwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtendaji Mkuu Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John K. Mduma  pamoja na Mameneja wa NSSF kutoka Dar es salaam na Watendaji waandamizi wa ofisi yake.

About the author

Alex Sonna