Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA TANZANIA MHE.SAMIA,AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Juni 22, 2022 katika Ukumbi wa (White House) Makao Mkuu ya CCM Jijini Dodoma.

About the author

mzalendoeditor