Featured Kitaifa

SHAKA AAGIZA WAKULIMA WA KOROSHO KUPATIWA PEMBEJEO HARAKA MKOA WA MTWARA

Written by mzalendoeditor

 

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Shaka Hamdu Shaka, akizungumza baada kukagua Zahanati ya Namatumbusi katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara. (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Shaka Hamdu Shaka, akicheza muziki pamoja na Kinana alipowasili katika Kijiji Cha Namatumbuasi  Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Shaka Hamdu Shaka, akikagua mradi wa maji Maratani katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara akiendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Shaka Hamdu Shaka, akizungumza na mmoja wa wananchi waliojitikeza wakati akikagua mradi wa maji Maratani, Kata ya Maratani Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara.

About the author

mzalendoeditor