marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

grandpashabet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis giriş

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

celtabet

Featured Kitaifa

WADAU WA KUTOA MAONI KUHUSU RASIMU YA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA WAKUTANA JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna

MWAKILISHI wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk.Charles Mhina,akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Kutoa Maoni Kuhusu Rasimu ya Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliofanyika leo Juni 2,2022 jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia hotuba ya Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk.Charles Mhina ,akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Kutoa Maoni Kuhusu Rasimu ya Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliofanyika leo Juni 2,2022 jijini Dodoma.

Afisa Tawala Mkuu kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi.Wamoja Ayubu,akielezea lengo la  Mkutano wa Wadau wa Kutoa Maoni Kuhusu Rasimu ya Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliofanyika leo Juni 2,2022 jijini Dodoma.

MWAKILISHI wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk.Charles Mhina,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua Mkutano wa Wadau wa Kutoa Maoni Kuhusu Rasimu ya Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliofanyika leo Juni 2,2022 jijini Dodoma.

………………………………………

Na Alex Sonna-DODOMA

WADAU wa sekta ya Mifugo na Uvuvi wamekutana Jijini Dodoma kutoa maoni kuhusu rasimu ya mkataba wa huduma kwa wateja huku wakipendekeza mambo mbalimbali.

Akizungumza leo Juni 2 2022,jijini Dodoma wakati wa Mkutano wa Wadau wa Kutoa Maoni Kuhusu Rasimu ya Mkataba wa Huduma kwa Wateja ,Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Dk.Charles Mhina, amesema mkataba huo ni muhimu kwani unawasaiodia kwenye kujiendesha kiweledi.

“Uadilifu weledi na uwajibikaji tunatakiwa kwenda katika misingi ambayo inazingatia kanuni za utumishi wa uuma.Kwenye eneo la weledi ni lazima kuwe na viwango vya  huduma bora kama taasisi ndipo pale tunapopambanua kuwafikia wateja wetu kila kundi linamatarajio yake.

“Ukiwa shambani kwako tunakuhudumia kwa huduma za ugani tunahakikisha tunakufikishia  kwa wakati na kwenye mifugo hivyo hivyo.Hata kwenye masoko tunafanya hivyo hivyo pamoja na huduma za vibali haya yote yanagusa katika weledi.

“Ili uwe na huduma bora ni lazima tuwe na uwajibikaji na ni lazima tuwekeane viwango ni namna gani tutawajibika kwa mteja wetu,”amesema.

Amesema wana matarajio makubwa watafikia malengo ya kutoa huduma bora ambazo zitaleta mabadiliko makubwa.

“Ninaamini tutafikia viwango na huduma zitaweza kuwafikia watu wengi tunafanya mapitio ya mkataba uliandaliwa tangu mwaka 2014 hivyo kuna mabadiliko mengi ambayo yametokea.Kuna mabadiliko ya kiteknolojia tulikuwa katika analogy lakini sasa hivi tunatoa vibali kwa kutumia Tehama,”amesema.

Kwa upande wake Afisa Tawala Mkuu kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Bi.Wamoja Ayubu, ambaye pia ni mratibu wa rasimu ya mkataba kwa mteja amesema mkataba huo unaelezea namna ambavyo mteja anaweza kurejesha mrejesho wa huduma ambayo amepata.

“Mchakato huu ulianza tangu mwezi Marchi Katibi Mkuu aliunda timu ambayo ilikaa na kupitia na tulitoka na rasimu na Mei iliwasilishwa kwenye Wizara na mapendekezo yalitolewa sasa rasimu tumekuja kuwasilisha kwa wadau.

“Popote pale watakapotaka kuboresha tutayajadili kwa kuzingatia utendaji na sheria na taratibu michakato yake inazingatia sheria baada ya rasimu kukamilika tutaenda katika utekelezaji,”amesema.

Amesema mkataba huo ni muhimu kwani unapima utendaji wa taasisi ambapo wateja wataweza kuwapima kama wanafikia vile viwango.

Naye,Afisa Uhusiano na Masoko kutoka Kampuni ya Kilimanjaro International heather Industrie (KLIC) Fredrick Njoka amesema wamehudhuria mkutano huo kama wanufaikaji na wanataka  kuhakikisha Wizara inakuwa na mikakati ambayo inawanufaisha wao.

“Zile changamoto ambazo tulikuwa tunaziona tunazitoa hapa hili ni jambo shirikishi na muhimu nah ii ndio sehemu pekee ya kuelezea kuna vitu vingi ambavyo tunataka viongezeke,”amesema

About the author

Alex Sonna